Rooting inakupa access ya "kuifanya" simu yako ya Android uipendavyo kwa upande wa Software including OS..
Ku root simu mkuu inategemea aina ya simu japo kuna apps na softwares ambazo zipo multipurpose kwa ajili ya kuroot aina tofauti za simu..
Unaweza kiroot kwa kutumia 'box' au kwa PC+ software au simu yenyewe kwa kutumia apps na flashable zip files...
Kabla ya kuchukua maamuzi ya ku root simh yako yapaswa kifaham madhara na faida zake...!
Hasara ninazoweza kukutajia mbili kuu ni
1. Kupoteza warranty ya simu yako
2. Kuwa kwenye hatihati ya 'kuua' simu yako..
Binafsi siwezi kukaa na simu isiyorootiwa...