Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niijaribu na hii ikigoma swala la rooting kwangu itakuwa ndio basi tenaiRoot
Najua mkuu and thanks for your concern broKufanya rooting ni risk pia ndugu, ndani ya dakika chache tu unaweza kuigeuza simu yako kopo
kama umeroot na unataka kuongeza ram tafuta apk inaitwa swapper hiyo ndo kibokoNiliweza kuroot ili niongeze ram nikachemka hapo kwenye kuongeza ram nikaachana nayo root
Apps muhimu sana kama simu yako ina root accessHili zoezi bado sijalipatia vizuri.
Nimeroot lakini naona ni kama hakuna kilichobadilika cha msingi... Processing bado ni ile ile na vingine viingi
Nami nasubiri jibu mkuuCMU yangu n android 6.0 naomba msaada nweze kuiroot
Kuroot ni kupata access ta kuweza kutweak hizo vitu so sio kwamba ukisharoot tu basi cpu yako itaclock 3.2 ghz au kwamba hivyo vitu vitajifanya vyenyeweHili zoezi bado sijalipatia vizuri.
Nimeroot lakini naona ni kama hakuna kilichobadilika cha msingi... Processing bado ni ile ile na vingine viingi
Sio dakika ni sekunde kadhaa tu ila softbrick zinatokA hardbrick ndio mtiti kwahiyo if you got the know how its no biggyKufanya rooting ni risk pia ndugu, ndani ya dakika chache tu unaweza kuigeuza simu yako kopo
Dem yoyote ukimwambia umeroot anakukubalia hapo hapoKwa mlio root, mnaenjy nin sana sana, au Kuna faida gani hasa katika kufanya hivo?
Tujuzane wakuu