Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe si umeshazisoma mkuu tiririka tuRejea kuna thread kibao hapa jamvini zinajibu suala lako
Kwan hui jui inaitwa android 6.0 mashimallowAndroid 6.0 ndo ikoje
Sm aina gani iyo bro![]()
Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat
Ninaisubiri 7.1.2
Zinaitwaje mkuu nami ni root simuExploit za 6.0 zipo sema wewe hujui na unapenda rahis.....unataka one touch root
Sijakuelewa exposed installer ile km una install kitu inakufaGreenify pamoja na battery amplifier kama una exposed installer itakufaa sana
Kama kawaida mkuuBro heshima kwako bado unayo hiyo s3 duh....na ina run nougat heshima zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jaribu kupitia hapo chiniKuroot ndio nn ??
jaribu kupitia hapo chiniNimepata point moja hapo kwamba ukiroot cm inakuwa na uwezo was kutunza betri, naomba kujua maana ya kuroot ili nami niroot cm yangu kwan ninapowasha data cm yangu inakula chaji haraka sana
How to Root Android 6.0 (Marshmallow) with KingoRoot APKCMU yangu n android 6.0 naomba msaada nweze kuiroot
How to Root Android 6.0 (Marshmallow) with KingoRoot APKNami nasubiri jibu mkuu
ram ni physical device, unaiongezaje?Niliweza kuroot ili niongeze ram nikachemka hapo kwenye kuongeza ram nikaachana nayo root