Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,591
iRootKwa wenye LG je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iRootKwa wenye LG je?
Huwezi kuongeza RamNiliweza kuroot ili niongeze ram nikachemka hapo kwenye kuongeza ram nikaachana nayo root
Ulifuata process zote vizuri mkuu?[emoji15]Nimetoka kuua cm yangu hapa natumia tu.
Storage ya simu inazingua apps zinakataa installation
Inategemea aina ya simu mkuu..Mkuu msaada,.
Naweza kubadikisha version kwa vigezo gani mfano kutoka 4.3 kwenda 4.4 n.k
ya kuchange font n app ganKuwa na simu ambayo haijawa rooted nakosa amani kabisa.
Simu yangu iko rooted, kwa maana hiyo naitumikisha, system apps ambazo sizitumii nimetoa zote, natengeza shortcut nipendavyo mimi, nimebadili launcher3 na kuweka arrow launcher na inafunction kama system app hata niirest simu inabaki na kuoperate normally, nachange font kila ninapohitaji , na control behavior nyingi za simu yangu kwa mfano zile app ambazo zina autostart naziziia.
Yote hayo ni possible ukiroot simu.
KivipiUlifuata process zote vizuri mkuu?[emoji15]
Asante mkuu, sasa ni app gani nzuri naweza kuitumia ku hibernate au ku freeze app ambazo zina run background au nakuwa sizitumii kwa wakati husika.![]()
Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat
Ninaisubiri 7.1.2
Greenify pamoja na battery amplifier kama una exposed installer itakufaa sanaAsante mkuu, sasa ni app gani nzuri naweza kuitumia ku hibernate au ku freeze app ambazo zina run background au nakuwa sizitumii kwa wakati husika.
Naomba pia nisaidie app ambayo naweza kubadili FONTS ya simu iwe na muonekano tofauti.
Thanks
Si kweli asilimia 100 freedom haifany hivyoMimi naweza kununua apps google store for free
And its shittyShit happens when you meet the wrong people.
Exploit za 6.0 zipo sema wewe hujui na unapenda rahis.....unataka one touch rootKATIKA VITU VYOTE HUWEZ ROOT ANDROID 6.0 MASHIMALLOW SIJUI BADO HAWAJA TOA
Bro heshima kwako bado unayo hiyo s3 duh....na ina run nougat heshima zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat
Ninaisubiri 7.1.2
Unaweza sema wewe hujuiHuwezi kuongeza Ram
Fanya update au flash romMkuu msaada,.
Naweza kubadikisha version kwa vigezo gani mfano kutoka 4.3 kwenda 4.4 n.k
Factory resetUlifuata process zote vizuri mkuu?[emoji15]