Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Hili zoezi bado sijalipatia vizuri.

Nimeroot lakini naona ni kama hakuna kilichobadilika cha msingi... Processing bado ni ile ile na vingine viingi
 
Kwa mlio root, mnaenjy nin sana sana, au Kuna faida gani hasa katika kufanya hivo?
Tujuzane wakuu
 
Kwa mlio root, mnaenjy nin sana sana, au Kuna faida gani hasa katika kufanya hivo?
Tujuzane wakuu
Pitia comments zilizotangulia utapata majibu mkuu maana swali lako ndio lengo haswa la kuanzishwa kwa huu uzi
 
Hili zoezi bado sijalipatia vizuri.

Nimeroot lakini naona ni kama hakuna kilichobadilika cha msingi... Processing bado ni ile ile na vingine viingi
Kuroot ni kupata access ta kuweza kutweak hizo vitu so sio kwamba ukisharoot tu basi cpu yako itaclock 3.2 ghz au kwamba hivyo vitu vitajifanya vyenyewe

Mfano ukipata degree haimaanish kaz au ajira zitakufata bado ni lazina utafute usipende rahis[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kufanya rooting ni risk pia ndugu, ndani ya dakika chache tu unaweza kuigeuza simu yako kopo
Sio dakika ni sekunde kadhaa tu ila softbrick zinatokA hardbrick ndio mtiti kwahiyo if you got the know how its no biggy
 
kingroot inadai token ili niweze kuroot nnafanyaje hapa sasa
 
pia tusaidiane hpa ku root na ku reboot ni kitu kimoja ama ni mawli tofauti?
 
Back
Top Bottom