Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Hiyo picha ya chini ndio yeye hizo za juu ni editing…..huyu Mama ni bingwa wa kusema wenzie aiseeeeee ana komwe kama shoka….na hiyo picha ya chini ndivyo alivyo ….
 
Haha sidhani kama ni kweli khadija kimobitel si alikuwa mnenguaji Twanga? Huyu si Dida Mchopanga? Au Khadija Mchopanga?
Dida mchopanga
Dida edzen
Dida kumbilamoto
Dida nk akipata ndoa mpya anabadili jina
Jina la kuzaliwa ni Hadija Shaibu
 
Hiyo picha ya chini ndio yeye hizo za juu ni editing…..huyu Mama ni bingwa wa kusema wenzie aiseeeeee ana komwe kama shoka….na hiyo picha ya chini ndivyo alivyo ….
Dida ni mbovu sana....ashukuru walau ana hela la sivyo ingekua hatari
 
Hahahaha yani nasisi tukapigwa vibuti hadi tukabadili sura hahahah…hili jukwaa lilikuwa moto sana
Nikajua ulibadili kwa ajili ya siasa 🤣🤣🤣 kumbe mapenzi, umeupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom