100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Usihisi mabaya juu ya mwenzako, na hata ukihisi usiongee public ni kumdhalilisha, unapofikisha ujumbe kwenye kundi la watu kila mtu atalipokea kwa namna anavyojua yeye.Umekubali umekurupuka?
Unaandika eti "usikute mtu hujawahi kukutana nae personally"....unajua maana ya KUHISI??
Wewe kwa hali ya kawaida mtu akikwambia anahisi unanuka utafikiri ni chuki,uchawi sio?