Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Sijui kwanini huyu mama na Ally Kiba huwa nahisi wananuka mdomo

Nwei,itakuwa ni pose la picha tu...japo sijawahi kumuona ana komwe
Kwa kumuangalia tu mtu unahisi ana nuka mdomo?

Amin nakwambia kwa kukuangalia tu pia kuna watu watakua wanakuhisi kua unanuka kwapa na papuch
 
Umechukulia too personal
Kuhisi sio lazima iwe kweli

Mie mtu akihisi nanuka kei,kwapa,mdomo siwezi ku-mind maana ni HISIA zake...inaweza kuwa kweli ama isiwe kweli

Tulia
 
Huyu ananyota ya ndoa daily kuolewa
Wadada wa jf mwombeni ushauri huyu
 
Hahaha utakua ulimchukua kwenye mosheni wakati anarudi nyuma au anaenda mbele.....
Ila watu wenye nywele zipo karibu na macho wana sura personal...
 
Sijui kwanini huyu mama na Ally Kiba huwa nahisi wananuka mdomo

Nwei,itakuwa ni pose la picha tu...japo sijawahi kumuona ana komwe
Sister usiwe unachukia watu pasipo sababu kama walivyo wa Tanzania wengi, hizo ni roho za kichawi ambazo tafsiri yake hupendi mwenzako afanikiwe, rafiki au ndugu. Hio ni roho ya kimasikini

Usitukane mtu kama hujawahi kukutana nae personally, kuna watu wako poa sana tofauti na unavyoambiwa au personality wanazokuwa nazo kwenye media kwa sababu ile ni kazi.

Binafsi ni shahidi, tujifunze kuwakubali watu na kuwapa wengine moyo.

Ukiulizwa sababu ya kutoa hio shombo hata huwezi sema, ndio uchawi, nimesoma comments humu wa Tanzania wanajijua akili zao.
 
Chuki iko wapi kwenye nilichoandika

Usikurupuke,elewa kwanza
 
Tunaelewashana tu Sister
Umekubali umekurupuka?
Unaandika eti "usikute mtu hujawahi kukutana nae personally"....unajua maana ya KUHISI??

Wewe kwa hali ya kawaida mtu akikwambia anahisi unanuka utafikiri ni chuki,uchawi sio?
 
Back
Top Bottom