100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Usihisi mabaya juu ya mwenzako, na hata ukihisi usiongee public ni kumdhalilisha, unapofikisha ujumbe kwenye kundi la watu kila mtu atalipokea kwa namna anavyojua yeye.Umekubali umekurupuka?
Unaandika eti "usikute mtu hujawahi kukutana nae personally"....unajua maana ya KUHISI??
Wewe kwa hali ya kawaida mtu akikwambia anahisi unanuka utafikiri ni chuki,uchawi sio?
Sura nzito kama uji wa magimbiKatika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
View attachment 2789072
View attachment 2789073
View attachment 2789075
Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
Usihisi mabaya juu ya mwenzako, na hata ukihisi usiongee public ni kumdhalilisha, unapofikisha ujumbe kwenye kundi la watu kila mtu atalipokea kwa namna anavyojua yeye.
HahahahahaaKhadija=dida
Mbona kitambo sana wamekuwa
Wakiitwa hivi
Ova
Shangingi la mjini.Dida ni nani???
Afya ya akili ni tatizo.
Goalkeeper wa zamani wa timu ya taifa ya BrazilDida ni nani ?
Sijui kwanini huyu mama na Ally Kiba huwa nahisi wananuka mdomo
Nwei,itakuwa ni pose la picha tu...japo sijawahi kumuona ana komwe
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwani waja mna nini lakini.Afu mbali na kukosa mvuto huko bado anaolewa Mara kumikumi[emoji15][emoji13][emoji86]....hakika ukishangaa ya Dida utafumaniana na ya Rose mhando
😂😂😂😂😴😴😴[emoji23][emoji23][emoji23] Kwani waja mna nini lakini.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sasa hv I can stay hata wiki siingii jf ujue ,zamani weeeeOf course, na tulijua kufanya fujo jamani! Loh
Wa kupata mababe tukapata humuhumu pia, those were the days.
Acha umbea[emoji38]Bado uko nae eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio umemzuia kuja tena jf??
Ila Tuna sura nzuri weeeeMtu ana komwe akinawa kama anaosha parachichi hajui mwanzo wa sura ni wapi....
Binamuu yake rose ndaukaHapo ana hela na ametumia filter, bora tu walau ana maokoto angekua kapuku kama mimi hali ingekua mbaya
Hapo SasaDida ni nani???
Sana🤣🤣MJINI KUNA MAMBO AISEE
Kwenye ndoa nyingi wanafungana na manara 😂😂😂Huyu ana ndoa nyingi mjini kuliko miaka ya Whozu
Astakafilah!Duh! Ndiyo ana sura mbovu hivi!