Kwa mnaotafuta wachumba,wiki inayoanza kesho,ni ya mafanikio

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo:
A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo:
1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda kazini,usivae nguo iliyofumuka au viatu vilivyosagika,kwa siku 7 mfulululizo vaa nguo za ndani mpya.Jipambe kwa marembo yote ya kike ambayo ni ya bei ya wastani,usivae vitu vya gharama kubwa
2.Zingatia sana usafi hasa usafi wa meno na mdomo,usafi wa nywele,makwapa yasitoe harufu kabisa
3.Uwe na uso wa furaha kwa kila mtu,na mchumba wako atakutafuta kwa kujifanya hana kitu,hivyo mpe tabasamu na maneno mazuri kila mtu,hasa unapokuwa approached na mwanaume aliyevaa vibaya vibaya,kwani huyo ndio mchumba wako,anakupima.
4.Usikae ndani,usijifungue kwani mumeo hayuko ndani kwako,yuko nje anakutafuta
5.Ukiendaa baa,usiwe mropokaji,usiongee sana,usilewe sana,usiwe unakula kama uko kwenye vita.
6.Kama baba yako mzazi yupo hai,ongea nae,mwambie baba natafuta mchumba,nisaidie,baba yako mzazi anao ufunguo wa wewe kupata mume
7.Panga vigezo vya mchumba umtakae vizuri,usiweke vigezo vigumu hutafanikiwa
B.Kwa wanaume,zingatia yafuatayo:
1.Unatafuta mwenza wa maisha,hutafuti malaika
2.Jichanganye na watu sana,ili ukutane na wanawake wengi upate kuchagua
3.Tengeneza vigezo vya mchumba umtakae kwanza na mshirikishe mama yako sana.
4.Kwa sasa kuna wimbi la wanawake kutoka nje ya nchi wanataka kuolewa na watanzania,changamkia hilo suala
5.Kumbuka unatafuta mke sio malaika
6.Tembea,toka ndani,jichanganye na watu,uwe mchangamfu,ukimuona mwanamke na roho ikakupige pwaaaaaa,mfuatilie na uwe mvumilivu
7.Ndani ya siku 7 ukikutana na mdada ana umbo zuri ila kavaa mradi mradi,mfuatilie kwani huyo ndio mkeo
ASANTENI
 
Wanawake ni bidhaa yenye thamani ila suala la kuolewa hawataki wenyewe ,kama kuzalishwa mpaka vichaa wanazalishwa .

Wanawake hawahitaji kutafuta mume hata siku moja.
 
Mimi sitafuti mchumba sweetheart ila kama unanipa dada yako nitafanyaje sasa, kwa shingo upande...
Weeee uko na kasi sio ya nchi hiii love nikasema nikuite ujaribu nahuku😁!

Ndugu yangu hapana labda rafiki 😊
 
Kama dada yako ni sawa, Ile ni pisi Kali aisee na siyo kwa kufanana huko... Kama mapacha ya nje...
 
Hii sio keupe kekundu kama cha yule nabii aliyesema kuanzia mwezi wa 4 nguvu za kiume zitatoweka? Kila siku najaribu mashine nione kama zishatoweka nakuta bado na nipo na 50+ 😀 😀 😀

Ya bongo mengi...
 
Namba 5 umenifunza, kumbe wanatafutia baa vijana wetu!
 
Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo:
A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo:
1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda kazini,usivae nguo iliyofumuka au viatu vilivyosagika,kwa siku 7 mfulululizo vaa nguo za ndani mpya.Jipambe kwa marembo yote ya kike ambayo ni ya bei ya wastani,usivae vitu vya gharama kubwa
2.Zingatia sana usafi hasa usafi wa meno na mdomo,usafi wa nywele,makwapa yasitoe harufu kabisa
3.Uwe na uso wa furaha kwa kila mtu,na mchumba wako atakutafuta kwa kujifanya hana kitu,hivyo mpe tabasamu na maneno mazuri kila mtu,hasa unapokuwa approached na mwanaume aliyevaa vibaya vibaya,kwani huyo ndio mchumba wako,anakupima.
4.Usikae ndani,usijifungue kwani mumeo hayuko ndani kwako,yuko nje anakutafuta
5.Ukiendaa baa,usiwe mropokaji,usiongee sana,usilewe sana,usiwe unakula kama uko kwenye vita.
6.Kama baba yako mzazi yupo hai,ongea nae,mwambie baba natafuta mchumba,nisaidie,baba yako mzazi anao ufunguo wa wewe kupata mume
7.Panga vigezo vya mchumba umtakae vizuri,usiweke vigezo vigumu hutafanikiwa
B.Kwa wanaume,zingatia yafuatayo:
1.Unatafuta mwenza wa maisha,hutafuti malaika
2.Jichanganye na watu sana,ili ukutane na wanawake wengi upate kuchagua
3.Tengeneza vigezo vya mchumba umtakae kwanza na mshirikishe mama yako sana.
4.Kwa sasa kuna wimbi la wanawake kutoka nje ya nchi wanataka kuolewa na watanzania,changamkia hilo suala
5.Kumbuka unatafuta mke sio malaika
6.Tembea,toka ndani,jichanganye na watu,uwe mchangamfu,ukimuona mwanamke na roho ikakupige pwaaaaaa,mfuatilie na uwe mvumilivu
7.Ndani ya siku 7 ukikutana na mdada ana umbo zuri ila kavaa mradi mradi,mfuatilie kwani huyo ndio mkeo
ASANTENI

Umeandika vizuri kwa upande wa wanawake hadi ulipofika namba 6 ukaharibu

Nwei,bahati nzuri tayari mchumba angu Intelligent businessman ninae na natamba nae tunatafuta hela twende zetu vacation North Korea mwezi wa 12
 
Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo:
A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo:
1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda kazini,usivae nguo iliyofumuka au viatu vilivyosagika,kwa siku 7 mfulululizo vaa nguo za ndani mpya.Jipambe kwa marembo yote ya kike ambayo ni ya bei ya wastani,usivae vitu vya gharama kubwa
2.Zingatia sana usafi hasa usafi wa meno na mdomo,usafi wa nywele,makwapa yasitoe harufu kabisa
3.Uwe na uso wa furaha kwa kila mtu,na mchumba wako atakutafuta kwa kujifanya hana kitu,hivyo mpe tabasamu na maneno mazuri kila mtu,hasa unapokuwa approached na mwanaume aliyevaa vibaya vibaya,kwani huyo ndio mchumba wako,anakupima.
4.Usikae ndani,usijifungue kwani mumeo hayuko ndani kwako,yuko nje anakutafuta
5.Ukiendaa baa,usiwe mropokaji,usiongee sana,usilewe sana,usiwe unakula kama uko kwenye vita.
6.Kama baba yako mzazi yupo hai,ongea nae,mwambie baba natafuta mchumba,nisaidie,baba yako mzazi anao ufunguo wa wewe kupata mume
7.Panga vigezo vya mchumba umtakae vizuri,usiweke vigezo vigumu hutafanikiwa
B.Kwa wanaume,zingatia yafuatayo:
1.Unatafuta mwenza wa maisha,hutafuti malaika
2.Jichanganye na watu sana,ili ukutane na wanawake wengi upate kuchagua
3.Tengeneza vigezo vya mchumba umtakae kwanza na mshirikishe mama yako sana.
4.Kwa sasa kuna wimbi la wanawake kutoka nje ya nchi wanataka kuolewa na watanzania,changamkia hilo suala
5.Kumbuka unatafuta mke sio malaika
6.Tembea,toka ndani,jichanganye na watu,uwe mchangamfu,ukimuona mwanamke na roho ikakupige pwaaaaaa,mfuatilie na uwe mvumilivu
7.Ndani ya siku 7 ukikutana na mdada ana umbo zuri ila kavaa mradi mradi,mfuatilie kwani huyo ndio mkeo
ASANTENI
Umesahau Numerology mkuu
 
Back
Top Bottom