Kwa mnaotafuta wachumba,wiki inayoanza kesho,ni ya mafanikio

Kwa wanaume hapo hiyo namba 4 ni kweli nina request kama 69 hivi kwa wanawake kutoka nchi za nje 🤣
 
Wanawake ni bidhaa yenye thamani ila suala la kuolewa hawataki wenyewe ,kama kuzalishwa mpaka vichaa wanazalishwa .

Wanawake hawahitaji kutafuta mume hata siku moja.
Hapa mtaani nimekutana na wanawake watatu below 22 wote hawataki kuolewa, wanasema hawataki kubwana
 
Hapa mtaani nimekutana na wanawake watatu below 22 wote hawataki kuolewa, wanasema hawataki kubwana
Yaani hawataki wenyewe ,wanashindwa kutambua thamani yao katika wakati sahihi ..Wakipita hapo ni balaa mbeleni.
 
Yaani hawataki wenyewe ,wanashindwa kutambua thamani yao katika wakati sahihi ..Wakipita hapo ni balaa mbeleni.
Nilipata mwanadada mmoja umri miaka 21 alikua na mimba nikawa tayari kulea yule mtoto, maana jamaa alikimbia yule binti akakataa🤣nlimpa sharti mtoto asiitwe majina ya baba yake, sahv kanasema ooh ety nasaka hela kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…