Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Mkuu habari,
Unaweza kunisaidia kazi gani ulizonazo na je unawezaje kumsaidia mtu apate kazi na Gharama zako zipoje kwa Faida ya wanajamvi, kusudi mtu ajue anaanzaje kabla Ajakucheki WhatsApp?

Shukrani.
 
Mimi Sina nafasi ya kazi...ambazo nazifahamu zimesha jaa...! Commission yake ilikuwa 1.5 milioni​
 
Duuuhh!!!! Ilikuwa kazi gani hiyo mkuu??
Ilikuwa kazi ya ULINZI...kimbembe ni kuwa ilikuwa lazima utume agent fee Kisha ndio upate visa.

Kuna watu watatu wali tuma na Jana Visa zao walitumiwa...hivi sasa wanasubiri ticket tu. Vipimo na mkataba watakuja kuvikuta huku huku ili kupunguza gharama...!​
 
Duuuhhh noma sana mkuu, na mishahara yao inakuwa kiasi gani ?
 
Je naww unamsaidia mtu akiwa Yupo Dubai kabisa au hata kama tupo bongo bado, na hapo ndio nilikuwa nataka nifaham gharama zako kwa mtu ambae ajakuja huko yani, na chance ya kupata kazi inakuwaje??
 
Je naww unamsaidia mtu akiwa Yupo Dubai kabisa au hata kama tupo bongo bado, na hapo ndio nilikuwa nataka nifaham gharama zako kwa mtu ambae ajakuja huko yani, na chance ya kupata kazi inakuwaje??
Kwa watanzania wengi sio wa kuaminika...kwa TanzaniA napenda tuonane uso kwa uso ili nijue nasaidiana na mtu wa aina Gani...!

Chance ya kupata kazi ni kubwa kwasababu huku wenye kazi ni maagent...kazi huku zinauzwa...!

Nipigie tuzungumze Whatsapp Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen
 
Nakazia, aboreshe muonekano kwanza ndipo arudi hapa na agenda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…