Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Usiniambie mkuu yani pale Berlin wali ndondo ni Buku?
Haipo hivyo ila bia supermarket ni kama Bongo au cheep zaidi.. Halafu kwa uchumi wa Ujerumani hiyo pesa ya bia ni kama sh. 100 tuu haiumizi yani bia ipo bei chini kuliko kilo ya mchele au robo kilo ya karanga.. So unaweza kuelewa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Usihamishe magolinya kariakoo ukayapeleka ulaya kwanza angalia Uchimi wao.ndio tuanzie hapo pia tuimia elimin'dogonya exchange rate usitishe watu
One Norwegian Krone equals
277.99 Tanzanian Shilling
 
Wapo Africans wengi, unakula mkenya, akizubaa unakula mnaija hivyohivyo wazungu ni ngumu labda wale wa kujiuza
Mkuu unaogopa unyanyapaa kutokea demu wa kizungu, au utakuwa unaogopa kupewa msala wa sexual harassment urudishwe bongo mkuku mkuku.....
 
Sasa ndugu yangu kama ni hvyo kumbe hata mimi naweza kukomaa huko mchele 1kg 7000, hapo utakua ni mwendo wa wali mkavu na chai au maji ya bomba kama ulivyoainisha mkuuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wapo Africans wengi, unakula mkenya, akizubaa unakula mnaija hivyohivyo wazungu ni ngumu labda wale wa kujiuza
Ina maana mkuu mpaka sahiv hujala papuchi ya kizungu, we n wakenya tu na nigerians?
 
Mkuu umeweka figure kwa Tshs maisha yanaonekana ghali kwa sababu ya thamani ya Tshs iko chini sana. Mfano miaka ile ya 1980 ungemwambia mtu kuna siku tutanunua sukari kilo Tshs 6,000/= . Nawashauri wale wenye ndoto za kwenda huko msikate tamaa
 
Larvik pale ipo siku [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Endelea kuumia, watu tunakuja hapo tunagonga menyu saafi na kulala park lodge then tunarudi makwetu .zimebaki siku 16 tu natimba hapo πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…