Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Njoo sinza kijiweHata mimi nahisi hivyo, wapi ntapata mganga mzuri anifanyie mambo? Ambae haombi kuku please!!!! Nami nna nusu mwaka sijala kuku kununua afu nimpelekee mganga hapana....
cha kondoo tu!! Mie tembo mzimaaa nikamvusha ziwa mpaka kiringeni kwetu..sisi kurogea fisi ni kawaida yaani suuuna!!Sa we unasema kuku tu....mi nshapeleka kichwa cha kondoo huko sumbawanga
[emoji16][emoji16]Doh!!! Maawamuzi ikawa niwe jinsia gani???
umesema nini sasa hapa???!! Kulinganisha bidhaa za matumizi ni sehemu bora ya maisha kujenga ufahamu.ili uishi kwa bajeti mwanana.Hv mtaacha lini huu ulimbukeni wa kulinganisha gharama za maisha ya nchi mnazotembelea au kuishi na mlipotoka Tanzania? Acheni kabisa habari za ku convert pesa ya nchi fln na bongo.
Unakuta mtu mzima kabisa na ni msomi katembelea Europe au America akiingia mall anaanza ku convert gharama ya bidhaa kwa pesa za kibongo ilhali maisha na pato la mtu mmj mmj kati ya bongo na nchi nyingi za Ulaya ni tofauti. Ujira wa kupiga Box kwa saa Ulaya au US wa $15( minimum paycheck) kwa saa si sawa na ujira wa mlalahoi wa Viwanda vya wahindi pale Keko. Tujifunze kuishi sehemu husika kwa mazingira yake ya hapo, na siyo mtu unaishi Baltimore au conventry city huku ukitaka uishi kwa gharama za Mbeya Uyole, it's highly impossible. Kumbuka " if ur in Roma, do as Romans do"
hili nalo la kuangalia sana tu ukinuna tu kosa.Mkuu unaogopa unyanyapaa kutokea demu wa kizungu, au utakuwa unaogopa kupewa msala wa sexual harassment urudishwe bongo mkuku mkuku.....
Nalangua huko huko na kuuza hukohuko!! Ikibidi nifugie huko huko kwa kukodishwa ka plot. Au nafanya kazi za kuchungaShida itakuja kwenye vibali, lazima upitie mchakato wa kuthibitisha ubora wa wanyama na nyama yenyewe na kuondoa uwezekano wa kuingiza magonjwa hatari ya mifugo...
Ufugaji huko upo very formalized, kumiliki kipande cha ardhi yenyewe mtihani........labda kama umepata bahati ya kujenga au kununua nyumba uwe unafuga kuku uani, wanaita backyard farming.Nalangua huko huko na kuuza hukohuko!! Ikibidi nifugie huko huko kwa kukodishwa ka plot. Au nafanya kazi za kuchunga
wewe!! Ulikimbiza mwenge sana. Ndo dalili number moja.siendi kuishi, umasikini wao ndio fursa kwangu ya kibiashara.
hata siku moja siwezi kwenda kuishi nchi nyingine tofauti na nchi yangu Tanzania.
Tanzania ndio kila kitu kwangu.
akili ya kitumwa ni ya kitumwa tu. Bongo ndiyo unakuwa mtumwa zaidi kuliko ulaya .Kwa mwanaume kuishi utumwani ni manyanyaso makubwa sana, ndo maana kuchukua watu mateka na kuwapeleka kuwa watumwa ilitumika kama njia ya kutawala watu. Huko ulaya nitaishi tu kwa kufanya kazi za kibalozi, au kwenye mashirika ya kimataifa, au kama mfanyabiashara au mwekezaji, siyo mtumwa...
Tambua kwamba huwezi kuwa mtumwa kwenu..........akili ya kitumwa ni ya kitumwa tu. Bongo ndiyo unakuwa mtumwa zaidi kuliko ulaya .
Uly unakuwa mtumwa mstaarabu.tajiiri.mtumwa muheshimiwa.
Jiulize wewe ni mtumwa wa nani kwanza!!
Bongo mtumwa chokoraa! Mijasho kunuka.Asiye endelezwa litaaluma.
Kwa Mungu na Shetani wote kuna Malaika. Ajabu malaika wa shetani anaona waleee! Wa Mungu eti wana shida ...Ni sawa na
Sizitaki mbichi hizi wkt zimeiva.
yaani mkuu naajiliwa shambani kwa mifugo huko nitajua huko huko!Ufugaji huko upo very formalized, kumiliki kipande cha ardhi yenyewe mtihani........labda kama umepata bahati ya kujenga au kununua nyumba uwe unafuga kuku uani, wanaita backyard farming.
Kwa kule yanawezekana sababu kipato chako chaweza kuwa laki 8 kwa siku! Ni vitu affordableDuuu, ki ukweli nitafia tu hapa hapa bongo.,,siyawezi hayo maisha.
Teee!!teh! Mkuu! Wacha kabisa utani!! Utumwa ni akili ya mtu.Tambua kwamba huwezi kuwa mtumwa kwenu..........
Inawezekana ukawa sahihi, kwamba unakuwa mtumwa ndani ya nchi yako mwenyewe......Teee!!teh! Mkuu! Wacha kabisa utani!! Utumwa ni akili ya mtu.
wafanya kazi wa idara ya Afya bongo,waalimu, nk. ni watumwa Wasiojitambua kabisaaaa!!
Huko majuu ni mfanya kazi yeyote ni mtumwa mstaarabu unaependwa na bana kuba.kwa halizote.Ok angalia hii
H/girl wa kikwete ni tofauti na H/girl wa nyumisi lkn kazi ni ileile.
Ila huyu Wa kikwete analala pazuri ana kula vizuri tena chkla cha Rais mstaaf na kwa wakati na anachotaka.posho ndefu.
Linganisha na huyu wa nyumisi huko mbagala mara apige desh! Mara alale chini wageni wamekuja mweee!! Mara mshahara mwezi huu umechelewa! Hapati.
Unadhani km ana akili timamu akipewa kuchagua ata chagua wapi??...jibu unalo.
Africans bado ni watumwa mbaya tena kwa sasa ni waafrica wenzao wanawatumikisha bila huruma.
Mtu mmoja anaamua kukata tu, riziki la kundi flani la watu.kwa kisingizio eti ni wafanya kazi fake!! Wkt Waliidhinishwa na wizara na yeye mwenyewe kaiba kura tu ni fake!!
Sasa hao watoto wake aliyefanyiwa huu ukatili watasoma vipi???
Nimeishi kule kwa miaka zaidi ya miwili, aliyoandika jamaa ni ya kweli kabisa. Na kwa kuongezea, takwimu za Norway zinapatikana katika tovuti yao ya www.ssb.no, na unapata za kila nyanja. Chakula ni bei rahisi kama unanunua super market. Ila pombe ni ghali sana kule mahali.Hii thread iko kitapeli mnoo.
Kuna watu wanakwenda kutapeliwa hapa JF kiulaini sana.
Kwa kuwasaidia baadhi ya watu hapa JF ambao hawajawahi kufika ulaya, taarifa nzima ya gharama na mfumo wa maisha ya eneo lolote husika katika nchi ya Norway inaweza kuipata kwa usahihi wa karibu 99% kwenye mitandao ya taarifa rasmi za nchi ya Norway. Unaweza kujua hata bei ya kununua changadoa na ukapewa, huhitaji kuja kulishwa matango pori ya wajanja na matapeli wa hapa JF.
Kwa mfano kupitia websites za;
-numbeo.com
-fullsuitcase.com