Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Hivi mbona tunaharibiana namna hii? Mm nimeolewa? Mbona tunaharibiana maisha hapa mjini jamani???
Chura ntanunua kigodoro babe mradi uhakika wa maisha upo!
Haya nimekutunzia siri, kipindi nipo majuu nilikuwa nakatiza mitaa na mbebezi wa kibotswana, mbona njemba za kizungu zilikuwa zinapiga jicho kinamna kwa jinsi mbebezi alivyofunga chura, mimi nikawa nasema kimoyomoyo hiiiii, botswana kuna mibebez bana bongo mtasubiri sana...
 
Kwamba huku tumejichokea☺!mtuvumilie tu... vyura huku kuna vigodoro balaa tunadamshi tu
 
katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi. ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
Hahaha fafanua kidogo hapo nilipoweka wino mzito.
 
Back
Top Bottom