Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Moto gani... mechi tumeangalia ni papatupapatu tu
 
Uzuri kwenye Kila kundi zinapita timu mbili so Amna shida yeyote kwasisi wanalunyasi🦁, sisi ni wazoefu nyie ni wadhaifu mkuu no sindano no good result
 
Reactions: Tui
Ttizo huna akili, sisi tumepangwa mara ngapi na hao Al ahly? na zote tumetoboa na mara moja kuongoza kundi
 
Kukusaidia Simba ilichukulia poa sana game ya Leo imekuwa ni surprise kiwanjani don't expect this to happen again nazani unakumbuka game ya Ahly Tripol we'd the same players.
Ukitaka kujua hilo ndio maana akaanza na Mkwala, Ngoma plus Okejepha.
 
Ya Utopolo yamekushinda Jana, Leo umehamia kwa Mnyama....
 
Ttizo huna akili, sisi tumepangwa mara ngapi na hao Al ahly? na zote tumetoboa na mara moja kuongoza kundi
Juzi tu hapa mlikaa chupi upande wakawagonga unataka kusemaje kwamba mnawaweza sana wakati mliwahi kumfunga mara moja tu zingine zote kawagonga?
 
Juzi tu hapa mlikaa chupi upande wakawagonga unataka kusemaje kwamba mnawaweza sana wakati mliwahi kumfunga mara moja tu zingine zote kawagonga?
Tumewafunga zaidi ya mara moja na droo zaidi ya mara moja na hiyo ni juzi tu
 
Reactions: Tui
Sijui, ila mimi naamini matokeo mazuri unsyopata kwa timu B, hayatafsili matokeo utakapo cheza na timu C.
Nani alikua anajua K.M.C. atakula za kutosha kwa Simba, alafu pamba akomae.

Nani alikua anajua Al hillal atampanda yanga, ikiwa wenyewe yanga walikua hawafikili Swala ushindi, walishajihakikishia,
Hivyo walichokua wanafikilia wao ni kuwafunga idadi kubwa ya magoli.
 
Argument ya kizembe hiyo
Huku kimataifa uwezo ndiyo unaongea na sio huu ujinga wa huku ligi kuu sasa Tabora akienda CAf atamfunga nani?
Iwapo Tabora akienda CAF hawezi kumfunga yoyote isipokuwa Yanga.
 
Iwapo Tabora akienda CAF hawezi kumfunga yoyote isipokuwa Yanga.
Na yanga pia atafungwa na Tabora lakini mywetu simba aaah tunasogeza chupi upande upande tu imooo
 
Moto gani... mechi tumeangalia ni papatupapatu tu
Anadhani kaangalia mwenyewe, vile viwango vya kawaida tu,nilivyoangalia Simba na Bravo wakicheza karata zao vizuri ndo watafuzu kwenye hili kundi
 
Tafuta taarifa sahihi ukianza na mwaka jana kwenye African football league
Simba alimfunga ahly ahly mara moja tu CAf champions league hapo kwa mkapa bao 1-0 enzi za pitso mosimane..

Huko AFL mlitoa draw dar afu kule Cairo mkagongwa
Na CAF pia msimu ule yanga robo aliipangwa na mamelodi na simba alipangwa na ahl ahly mkagongwa tena .

Kama kuna zingine taja hebu fuatilia sawa?
 
Na yanga pia atafungwa na Tabora lakini mywetu simba aaah tunasogeza chupi upande upande tu imooo
Kwenye mpira hakuna kusogezana chupi tunacheza kutafuta magoli,kuvuana vyupi itakuwa michezo yenu huko Avic Town ndo maana viwango vimeshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…