Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Kwani Kibu anacheza mwenyewe mbona wengine wanafunga, je nye mechi 3 mfululizo hamjashinda tusemaje? Mwaka huu hakuna kudunga sindano mtafululiza kupoteza back to back hadi game 6
Anacheza mbele kazi yake ni kufunga no excuse!

Ina maana mpaka kuke national team wachezaji wa yanga wanadungwa sindano?
Basi sisi tukikaribia kucheza na simba tutachoma ili kama kawa tuwagonge nje ndani tena au vipi?
 
Ahly ahly hachezagi shirikisho jiheshimu we mzee
Nyie kaeni huko huko kwa kina mama huku wanacheza wababe tu si msimu jana tu waliwagonga nyie?
Kama hamzidi Al Ahly basi bado sana kwa Simba. Ni rahisi kwa Simba kuiogopa Tabora Boys ya akina Chikola, lakini sio mwarabu 😀😀😀
 
Viwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.

Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?

Akili mtu wangu
Hizi ni stress halafu kama wewe ni mwanaume kuwa unaongelea mambo ya chupi uache unatafsiriwa vibaya. Jana umedondosha point 3 Simba kapata point 3 move on ndio mechi ya Kwanza Acha ushamba😔
 
hadi Chikola wa Tabora Boys anamzidi Kibu, na Dube pia lakini 😁😁😁
Ndiyo hilo ni kweli
Dube na kibu wote ni wazembe na wawajibike!

Mwenzio anadai kibu kwani anacheza peke yake so na dube anacheza peke yake?
 
Kama hamzidi Al Ahly basi bado sana kwa Simba. Ni rahisi kwa Simba kuiogopa Tabora Boys ya akina Chikola, lakini sio mwarabu 😀😀😀
OK sawa sawa
Ni rahisi sana yanga kuiogopa Tabora kuliko simba tunayojipigia kila day kama demu wetu tu 🤣
 
Hizi ni stress halafu kama wewe ni mwanaume kuwa unaongelea mambo ya chupi uache unatafsiriwa vibaya. Jana umedondosha point 3 Simba kapata point 3 move on ndio mechi ya Kwanza Acha ushamba😔
Hapa wanaongea wanaume OK?

Wewe endelea kujichekesha tu sina time na wewe huna la kuongea🤣
 
Ahly ahly hachezagi shirikisho jiheshimu we mzee
Nyie kaeni huko huko kwa kina mama huku wanacheza wababe tu si msimu jana tu waliwagonga nyie?
Ndiyo shida ya kutokuwa na akili Al ahly amewahi beba shirikisho, kuku wewe
 
Ndiyo shida ya kutokuwa na akili Al ahly amewahi beba shirikisho, kuku wewe
Ilikuwa zamani na ana muda mrefu hajacheza huko kila mara yeye ni CAFCl na anakuwa bingwa anapokelezana tu na wydad

Sasa nyie simbilisi sijui tuwaweke wapi?
 
Yaani robo tu inawatosha hata kaa tia maji tia majieti eeh
We robo unaichukulia ppwa,africa kuna timu zaidi ya 859 za ligi kuu,robo xinaingia yimu 8 tu,na simba imo uschukulie poa
 
Ndiyo hilo ni kweli
Dube na kibu wote ni wazembe na wawajibike!

Mwenzio anadai kibu kwani anacheza peke yake so na dube anacheza peke yake?
Basi mchukueni Chikola badala ya Dube. Ila utopolo hawatabiriki, nimesikia wanawinda saini za Fredy fungafunga na Jobe 😀😀😀
 
We robo unaichukulia ppwa,africa kuna timu zaidi ya 859 za ligi kuu,robo xinaingia yimu 8 tu,na simba imo uschukulie poa
Katika hizo 859 nyingi ni mchekea wababe ni wachache sana ambao ndiyo mabingwa na wengine wasindikizaji akiwemo simba
 
Basi mchukueni Chikola badala ya Dube. Ila utopolo hawatabiriki, nimesikia wanawinda saini za Fredy fungafunga na Jobe 😀😀😀
Sasa angalau chikola atatusaidia vipi mbangula striker hatari nimeskia simbilisi mpo katika hatua za mwisho kumsainisha pale lunyasi🤣
 
Back
Top Bottom