Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Katika hizo 859 nyingi ni mchekea wababe ni wachache sana ambao ndiyo mabingwa na wengine wasindikizaji akiwemo simba
Huna akili,timu iko nafasi ya 6 kwa rank za Caf unaichukuliaje poo
 
Acha matusi kama mwanaume kweli ongea point. Kashauri timu lako lilifungwa Jana.
Unaparamia watu hata hawajushobokei halafu

Hawa ninaotaniana nao ni watani zangu sana akiwemo Lupweko ila nashangaa imekuuma sana chomoa kama vipj🤣
 
Huna akili,timu iko nafasi ya 6 kwa rank za Caf unaichukuliaje poo
Hebu acha kuleta mambo ya zilipendwa sawa nani aliyekwambia mpo nafasi ya 6 wakati mlishashuka kwa kucheza huko luza?

Hebu kaangalie vizuri tena
 
Acheni kubishana na hawa waliofungwa mechi tatu mfululizo madishi yameyumba😄😁
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
utopolo bana hamlali!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Striker maana yake ni nini?na Winga maana yake ni nini?
Kumbe huna akili eti babu eeh?

Sikuhizi Morden football winga ni mshambuliaji anayetoka pembeni naye..!

Humuoni Raphinha na kina lamine? Wanacheza wapi?mbona wanafunga?

Yaani simbilisi mnatia aibu sana jamani
 
Kweli Manara alikuwa sahihi, nyie hamnazo
Labda kama umelewa ila kama una akili timamu huwezi kuwa mjinga kiasi hicho soka limebadilika sana umekariri winga ya kizamani utakuwa muhenga wewe
 
Ukiumwa na nyuki asali inakimbilia kwenye ubongo na sehemu zingine zenye utobo.Hivyo mchukulieni poa gongowazi kabakwa mara tatu tena mande lazima aweweseke.
 
Kumbe huna akili eti babu eeh?

Sikuhizi Morden football winga ni mshambuliaji anayetoka pembeni naye..!

Humuoni Raphinha na kina lamine? Wanacheza wapi?mbona wanafunga?

Yaani simbilisi mnatia aibu sana jamani
Sijadiliani tena na wewe,wenye akili ni wawili na wewe haumo.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mashabiki wa utopolo ni kama fyuzi zimelegea kwenye ubongo tangu vipigo vilivyofuatana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wapumzishen utopolo mtawauwa bure.
Aise nakuunga mkono hawajamaa kwasasa wamevurugwa.

Badala waangalie timu yao wanamuwazia simba mwenye point
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom