Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Anajiliwaza maskini mtungo sio poa.Ice cream halafu asali na wakimbizi wenye upwiru panawaka moto ndio maana hatulii.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wapumzishen utopolo mtawauwa bure.
Aise nakuunga mkono hawajamaa kwasasa wamevurugwa.

Badala waangalie timu yao wanamuwazia simba mwenye point
Imagine mechi ikiisha hadi makomando wao wanawapiga mashabiki wao wanaohojiwa na vyombo vya habari pale nje ya kwa mkapa hawataki kuona mashabiki wao wanakosoa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Imagine mechi ikiisha hadi makomando wao wanawapiga mashabiki wao wanaohojiwa na vyombo vya habari pale nje ya kwa mkapa hawataki kuona mashabiki wao wanakosoa
Hao ndio gongowazi original.
 
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
Namungo wanawashenyenta tena.
Team ishajifia iyo lawama mnampa Gamondi
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
Wewe mbona simba wamefunga acha hizo
 
USM ALGER ameshampiga mtu 6 uko na kwa mpira huu wanaocheza simba wajiandae kwa kweliii watatia aibu taifa 🤣
Wewe mpuuzi haswa. Orapa United timu iliyofungwa 6 ni ya ngapi kwenye ligi ya Botswana?Alifungwa Galaxy bingwa wao goli 6 wewe unashangaa timu ya 7 kufungwa 6
Umefungwa nyumbani tafuta namna ya kufuta aibu yako kwanza. Wewe umelala na njaa unamshauri jirani yako aliyelala huku amekula.Aibu umeshatia Taifa kufungwa nyumbani.
 
Mnapoteza mda kubishana na nyuma mwiko kweli wakuu? Wanasumbuliwa na mengi cha kwanza huo mwiko nyuma cha pili vipigo mfululizo, tabora kamuonjesha utamu wa asali basi mtoto kila mda anautaka. Leo tuu wametoka uwanjani wamesahau hadi njia za kwenda nyumbani si ajabu mleta mada yupo pori la mpigi magohe anatafuta njia ya kwenda nyumbani.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Viwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.

Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?

Akili mtu wangu
Hajafunga goli la Kwanza na Tripoli alifunga Dube?😃😃
 
Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweli

Sasa yanga wao wako vizuri sana unadhani yanga angecheza na wachovu mliocheza nao si hao waangola wangetandikwa hata 6?

Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe

Halafu sasa sisi tulishapangwa mpaka kundi moja na ahly ahly na bado tukatoboa kumbuka mechi ya kwanza na CRB walitufunga tena 3 kwao kule .

Simba msimu huu ya kinyonge sana msije aema sikuwaambia
Ukatoboa kwenda,wapi wewe????
 
Hao Bravo wamewatoa Coastal Union ambao nyie mlibebwa kwa goli la offside la Baleke,umepigwa 3 na Tabora ndio uje kuwafunga Bravos?Umefungwa na wakimbimbizi nyumbani
 
Back
Top Bottom