Kuna ndoa nilichangia kwa kujinyima laki moja na hamsini ikadumu wiki mbili nilituma mtu akaawambie wanirudishie japo elfu 50,000/= nikanunue dompoYaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??
Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya.
Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda kwenye kumbi kufanya maigizo ya kujifaharisha.
Mnafanya maonesho ukumbini ya fahari kubwa na kujifanya mna furaha kubwa kumbe watu wenyewe hata hampendani.
Kuna ndoa nimechangia laki 2 zangu lkn imedumu siku 21 tu.
πππKuna ndoa nilichangia kwa kujinyima laki moja na hamsini ikadumu wiki mbili nilituma mtu akaawambie wanirudishie japo elfu 50,000/= nikanunue dompo
Nacheka ila naogopa.Hahaha sicheki kama ni mazuri ila tukiwaza haya ambao bado haujaingia ndoani tunashikwa na mawazo dah
Nilikuwa bado nachangia mkuu. Ila kuanzia Sasa......nhiiiiiii!!!!Wewe hadi leo unachangia harusi...
Ndoa hizi basi,Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??
Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya.
Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda kwenye kumbi kufanya maigizo ya kujifaharisha.
Mnafanya maonesho ukumbini ya fahari kubwa na kujifanya mna furaha kubwa kumbe watu wenyewe hata hampendani.
Kuna ndoa nimechangia laki 2 zangu lkn imedumu siku 21 tu.
π€£π€£π€£ππΏKuna ndoa nimechangia laki 2 zangu lkn imedumu siku 21 tu.
Wanatamani ndoa wakishazipata wanaanza Tena kupambana kuzibomoa,Ndoa
Ndoa
Ndoa
Shida ni kubwa Sema haiwekwi wazi kwani sababu za hizi ndoa nyingi zinafanana. Wanawake wote Sasa hivi wamekuwa wanaharakati ndani ya ndoa. Wewe unapambana na maisha wao wanapambana kujihakikishia maslahi ndani ya ndoa
Hela za watu na vyakula na vinywaji wanavyojumuika kula na kucheza na mashetani yamo humohumo! Funga ndoa kimyakimya kama utaona mafarakanoKuna watu walikaa kwenye mahusiano miaka 8 wakaja funga ndoa mwezi tu chali sijuagi huwa wanakumbwa na vitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app