Kwa mpira huu nahamia Yanga

Kwa mpira huu nahamia Yanga

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu

Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Unachezea shillingi chooni, ADT siyo timu sahihi ya kuipima Uto. Subiri hadi wacheze na Al merreik ndiyo utapata picha halisi.
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu

Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Simba hatuna akili kama yako wewe ni utopolo tu wala usiitaje ovyo Simba
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu

Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia

Papatu Papatu - umetubu, umepokelewa, ila mimi sijui nahamaje team.
 
Back
Top Bottom