kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
AahaaaaaaHuu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu
Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Wauza gongo wanatafuta nini CL? Kubali yaishe Yanga ni Taifa kubwa! PoleUnacheza na wauza gongo kutoka msuka pemba
Karibu sana nyumbani TanzaniaWana yanga mnipokee
Nilijua tu,Wauza gongo wanatafuta nini ligi kuu? Kubali yaishe Yanga ni Taifa kubwa! Pole
Hahahahahahaha...!Nilijua tu,
zalan walifuata nn CLWauza gongo wanatafuta nini CL? Kubali yaishe Yanga ni Taifa kubwa! Pole
Unachezea shillingi chooni, ADT siyo timu sahihi ya kuipima Uto. Subiri hadi wacheze na Al merreik ndiyo utapata picha halisi.Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu
Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Simba hatuna akili kama yako wewe ni utopolo tu wala usiitaje ovyo SimbaHuu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu
Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu
Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Imeuma?Unacheza na wauza gongo kutoka msuka pemba
Nani anayeumwa?Imeuma?
Au bado tuendelee kushindilia sindano ya maumivu?