Kwa mpira huu nahamia Yanga

Kwa mpira huu nahamia Yanga

Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Malizana kwanza na makolo wenzako. Wakutukane weee! Ndipo tukukaribishe baada ya hayo matusi yao kuisha.
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Karibu sana,
Once mwananchi always mwananchi
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa tu,pole sana
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
KARIBU MKUU, KARIBU SANA, TUWE WOTE KWAMBA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...🤙💪✊👊🤟
Screenshot_20230827-063346.jpg
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Duuh aisee kweli DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.... Mechi na ASAS imewotoa akili kiasi hichi, hata hivyo hamjawahi kuwa na akili maana wenye akili ni wawili tu....
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Playing against a team from farmers league and praise your team's performance like it was playing against real Madrid
 
Msimu huu Yanga sc kwa uchachee nusu final CL. Save hii post na niko paleee nimetulia
Wewe ndoto za ujana bado zinakusumbua amkaaa wewe.... Namna Yanga anavyocheza usitajirie makubwa huko CAFCL rejea Mamelodi Sundowns kwa misimu mi 4 mfululizo Yanga ndo kwanza anaanza.

Yani kifupi style of play ya Sundowns na Yanga hazitofautiani sana, ila kwa Sundowns na umwamba wao misimu mi 4 mfululizo kama wanachukua lakini hola kwasababu mpira wa Africa hauitaji uchezaji wa namna hiyo kwasasa.

Simba ameucheza sana mpira huo ameshindwa kutoboa kwenda nusu ndomana anabadilisha namna ya uchezaji ilikuendana na soka la Africa linavyotaka.

Timu zinazooneka zinacheza objective football ndio zinafanikiwa zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Africa, na mara nyingi objective football inabase kwenye matokeo (70%) na kuwavutia watazamaji (30%).
 
Nasemaje kwa uchachee ni nusu fainali, kama ni ndoto basi hii ndoto ni ya ukweli. Tukiingia group tu, safari hadi semi mkuu.
 
Wauza gongo wanatafuta nini CL? Kubali yaishe Yanga ni Taifa kubwa! Pole
Punguza kuongea sana. Msimu uliopita Zalan alipigwa goli za kutosha.
Mechi iliyofuatia na Al hilal walitoka 1-1 na mechi ya marudiano akapigwa 1 akawa ametolewa CAF Champion league.
 
Msimu huu Yanga sc kwa uchachee nusu final CL. Save hii post na niko paleee nimetulia
Ngoja tuone.
Zalan alikuwa hawana uwanja. Historia imejirudia kwa Asas
Hiyo ni club bingwa na wala siyo shirikisho.
 
Back
Top Bottom