Kwa mpira wa jana mapengo ya Chama na Miqueson yapo wazi

Watopolo endeleeni tu kujipa matumaini, ila ligi ikianza hatutaki mayowe yenu.
 
Ila Utopolo ni utindio wa ubongo. Mtu kaona highlights za magoli ila anafanya analysis ya mechi nzima. Bora ungetoa kasoro katika namna ya magoli tuliyofungwa na safu ya ulinzi unaenda kuzungumzia Luis na Chama!
 
Andishi bora kabisa hili,watanzania wengi tunaendeshwa na ushabiki wa kipumbavu utafikiri pindi wakina Chama na Miq wapo Simba haikuwahi kufungwa au ilichukua kikombe cha dunia.Hakuna mchezaji wa kudumu kwenye tm yeyote hapa duniani.
 
Nilichogundua waandishi wengi wanapambana ili Simba iwe chini Yanga iwe juu,ndio maana kakitu kadogo kanafanywa kuwa jambo kuuubwa as if Simba imeua.Kwa mfano manara aliacha kazi mwenyewe ila anapewa live coverage kwenye media ili awatukane viongozi wa Simba.
Kuna ka ugonjwa ka kuzilalamikia mechi za Simba popote pale inapo cheza.
Timu iko Morroco inacheza na Wamorroco, marefa ni Wamorroco.
Malalamiko yapo Jangwani.TZ
Maajabu ya Dunia.
 
Mkuu unapigia mbuzi gitaa. hawa ni wajinga wachache wanaojua wanachokifanya. Usidhani hajui hicho unachosema,laah hasha. Ndio maana mimi nimechagua kuwapa shombo tu.
 
Hili linaratibiwa na Azam Media wenyewe wakishirikiana na GSM. Wameweka waandishi na wachambuzi wote kwenye payroll
 
GSM amewekeza kwenye propaganda ndiyo maana amenunua wachezaji wa bei poa hela yote anamalizia kuwanunua waandishi na wachambuzi uchwara kutetea uozo wake.
 
Wasichojua wanafikiri wanapambana na viongozi wa Simba, kumbe wanapambana na mashabiki na wanachama ambao ndio wateja wao wakubwa.
Viongozi na technical bench wako tuli wanaweka mikakati. Juzi Mwanaspoti ilitoa tamko la kudai mashabiki wa Simba wanalalamika hawatoi habari za camp ya Simba Sc. Kilichotokea comments zote za fans wa Simba wanaunga mkono media kukatazwa kufika camp.



 
Hii comment imetoa elimu ya kutosha kwa wote wasioelewa soka kama huyu mleta uzi.
 
Umeona game channel Gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…