GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi kubakia Kuzishangilia Timu zangu Kubwa na Pendwa Tatu tu duniani 1. Simba SC, 2. Liverpool FC na 3. Taifa Stars na hawa Wapuuzi wengine wawatafute wa Kuwashangilia.
Kila Siku natoa tu Maelekezo kwa Mabeki wa Timu zote ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kuwa Mshambuliaji Wao Fiston Mayele ana Shida katika Goti lake la Kulia hivyo apatikane tu Mchezaji Mmoja wa Kujitoa Mhanga aliguse, amuumize Kimchezo na atoke nje ili Kuidhoofisha Yanga SC lakini hawawezi hadi wanamuacha, wanamchekea na anawaadhibu pia.
Hapa ndipo ninapomkumbuka sana Rafiki yangu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) na Swahiba wangu Boniface Pawassa ( Katili ) kwani hawa ndiyo walikuwa Watu wa Kazi Maalum za Uwanjani hasa kwa Washambuliaji wenye Viherehere na Wasumbufu kama Mayele na huyu Mayele angekutana nao nina uhakika angeomba mwenyewe kwenda ( kurejea ) Kwao Kinshasa Congo akakate zake tu Viuno na Nduguze akina Fally Ipupa na Ferre Gola.
Coastal Union FC jana kama wangeamua kubakia na aina ule ya Mchezo wao wa dakika 15 tu za Kwanza na wakakubaliana Kupambana kwa pamoja nina uhakika jana wangetoka Sare na Yanga SC au hata kama ni Kufungwa wangefungwa kwa Margin ndogo sana ( kwa Goli Moja ) matokeo yake nao wakatoka katika Mchezo wao wa Kwanza na kuanza Kutowaheshimu Yanga SC Kucheza Kibishoo ( Kifaza ) huku wakiwaiga Yanga SC ambao wana Wachezaji wa 'Class' Kubwa zaidi yao.
Wamenikera kuliko Maelezo Wapuuzi hawa Coastal Union FC.