Kwa Mpira wa Kipuuzi na Kitoto walioucheza jana Coastal Union FC dhidi ya Yanga SC Kombe la ASFC Yanga SC wapewe hata Leo tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi kubakia Kuzishangilia Timu zangu Kubwa na Pendwa Tatu tu duniani 1. Simba SC, 2. Liverpool FC na 3. Taifa Stars na hawa Wapuuzi wengine wawatafute wa Kuwashangilia.

Kila Siku natoa tu Maelekezo kwa Mabeki wa Timu zote ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kuwa Mshambuliaji Wao Fiston Mayele ana Shida katika Goti lake la Kulia hivyo apatikane tu Mchezaji Mmoja wa Kujitoa Mhanga aliguse, amuumize Kimchezo na atoke nje ili Kuidhoofisha Yanga SC lakini hawawezi hadi wanamuacha, wanamchekea na anawaadhibu pia.

Hapa ndipo ninapomkumbuka sana Rafiki yangu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) na Swahiba wangu Boniface Pawassa ( Katili ) kwani hawa ndiyo walikuwa Watu wa Kazi Maalum za Uwanjani hasa kwa Washambuliaji wenye Viherehere na Wasumbufu kama Mayele na huyu Mayele angekutana nao nina uhakika angeomba mwenyewe kwenda ( kurejea ) Kwao Kinshasa Congo akakate zake tu Viuno na Nduguze akina Fally Ipupa na Ferre Gola.

Coastal Union FC jana kama wangeamua kubakia na aina ule ya Mchezo wao wa dakika 15 tu za Kwanza na wakakubaliana Kupambana kwa pamoja nina uhakika jana wangetoka Sare na Yanga SC au hata kama ni Kufungwa wangefungwa kwa Margin ndogo sana ( kwa Goli Moja ) matokeo yake nao wakatoka katika Mchezo wao wa Kwanza na kuanza Kutowaheshimu Yanga SC Kucheza Kibishoo ( Kifaza ) huku wakiwaiga Yanga SC ambao wana Wachezaji wa 'Class' Kubwa zaidi yao.

Wamenikera kuliko Maelezo Wapuuzi hawa Coastal Union FC.
 
Tangu lini wewe ukakasirishwa na timu ambayo wewe si mshabiki wake?? Hamia Yanga..
 
Katikati Babu Kaju na Aucho waliwapoteza Coastal Union na maufundi ambayo hata Real Madrid hawana!!

Kutaka Yanga ya Professor Nabi ifungwe ni kujipa ugonjwa wa Moyo bure tu mbona Simba mfupa ulimshinda CCM Kirumba ambako Yanga ilitumia fomesheni ya kwao na Nabi double strikers?

Mayele ni goal poacher hakabiki na wachezaji wenzake wote wanampenda wanamlisha mipira lazima akupasue tu!

Tukutane next season rekebisheni Simba yenu tunawasubiri mje mkiwa kamili na kocha mpya hatutaki visingizio mje tuendelee kuwapiga tu!
 
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi kubakia Kuzishangilia Timu zangu Kubwa na Pendwa Tatu tu duniani 1. Simba SC, 2. Liverpool FC na 3. Taifa Stars na hawa Wapuuzi wengine wawatafute wa Kuwashangilia.

Kila Siku natoa tu Maelekezo kwa Mabeki wa Timu zote ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kuwa Mshambuliaji Wao Fiston Mayele ana Shida katika Goti lake la Kulia hivyo apatikane tu Mchezaji Mmoja wa Kujitoa Mhanga aliguse, amuumize Kimchezo na atoke nje ili Kuidhoofisha Yanga SC lakini hawawezi hadi wanamuacha, wanamchekea na anawaadhibu pia.

Hapa ndipo ninapomkumbuka sana Rafiki yangu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) na Swahiba wangu Boniface Pawassa ( Katili ) kwani hawa ndiyo walikuwa Watu wa Kazi Maalum za Uwanjani hasa kwa Washambuliaji wenye Viherehere na Wasumbufu kama Mayele na huyu Mayele angekutana nao nina uhakika angeomba mwenyewe kwenda ( kurejea ) Kwao Kinshasa Congo akakate zake tu Viuno na Nduguze akina Fally Ipupa na Ferre Gola.

Coastal Union FC jana kama wangeamua kubakia na aina ule ya Mchezo wao wa dakika 15 tu za Kwanza na wakakubaliana Kupambana kwa pamoja nina uhakika jana wangetoka Sare na Yanga SC au hata kama ni Kufungwa wangefungwa kwa Margin ndogo sana ( kwa Goli Moja ) matokeo yake nao wakatoka katika Mchezo wao wa Kwanza na kuanza Kutowaheshimu Yanga SC Kucheza Kibishoo ( Kifaza ) huku wakiwaiga Yanga SC ambao wana Wachezaji wa 'Class' Kubwa zaidi yao.

Wamenikera kuliko Maelezo Wapuuzi hawa Coastal Union FC.
Nyie wenyewe mmeshindwa fanya kazi ya kumfunga yanga unaleta porojo. Na nyie sii mlicheza nao mbona hatukuona hii akili uliyosema hapa
 
Ila coastal wana timu nzuri kama hii timu ikiweza wabakishanwachezaji wao na wakapata right fullback, striker wanaweza compete vizuri next season. Kuna mambo machaze kuhusu uchezaji ambayo wanatakowa jifunza, hasa hasa composure kwenye final third. Wanaharakisha sana kupiga mashuti nje ya box wakati kulikuwa na better option kwa mpiga mashuti ya kutoa pasi na kuufungia mchezo zaidi na kutengeneza nafasi nzuri zaidi
 
Mkuu unaujua mpira,
Coastal union Jana hata Mimi dakika za mwanzo walinitisha
 
Hahahah yeah dakika za kwanza walikuwa vizuri na actualy walingia into promising positions sema maamjzi yao ndio yaliwaangusha.

Goli la kwanza la yanga naweza sema ndio lilionyesha udhaifu/ kutoelewa kanuni za kucheza kutokea nyuma. Na kabla ya hilo goli walishajarubu mara kadha kutoka but this time mpira uliporwa na eventually makosa ndio yakazaa goli.

Goli la pili ilikuwa transition so inaweza tokea defender anshindwa anticipate mchezo. But my word the third goal...lazima tuwapongeze yanga. Well worked corner routine...straingth from training ground

Coastal wakifanyia kazi junsi ya kubuild up from the back, wakatafuta njia ya kupress vizuri final inaweza kuwa mechi nzuri sana. I just wish watawabakiza wachezaji wao maana hii unaona kabisa ni project ambayo ndani ya misimu miwili unakuwa na bonge moja la timu ambayo ni top four material.
 
Mzee wa Mbususu Kumbe Upo Njema

Kwenye Uchambuzi wa Soka.[emoji119]

[emoji119]..I appreciate Mkuu Umezungumza Vyema.
 
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi kubakia Kuzishangilia Timu zangu Kubwa na Pendwa Tatu tu duniani 1. Simba SC, 2. Liverpool FC na 3. Taifa Stars na hawa Wapuuzi wengine wawatafute wa Kuwashangilia.

Kila Siku natoa tu Maelekezo kwa Mabeki wa Timu zote ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kuwa Mshambuliaji Wao Fiston Mayele ana Shida katika Goti lake la Kulia hivyo apatikane tu Mchezaji Mmoja wa Kujitoa Mhanga aliguse, amuumize Kimchezo na atoke nje ili Kuidhoofisha Yanga SC lakini hawawezi hadi wanamuacha, wanamchekea na anawaadhibu pia.

Hapa ndipo ninapomkumbuka sana Rafiki yangu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) na Swahiba wangu Boniface Pawassa ( Katili ) kwani hawa ndiyo walikuwa Watu wa Kazi Maalum za Uwanjani hasa kwa Washambuliaji wenye Viherehere na Wasumbufu kama Mayele na huyu Mayele angekutana nao nina uhakika angeomba mwenyewe kwenda ( kurejea ) Kwao Kinshasa Congo akakate zake tu Viuno na Nduguze akina Fally Ipupa na Ferre Gola.

Coastal Union FC jana kama wangeamua kubakia na aina ule ya Mchezo wao wa dakika 15 tu za Kwanza na wakakubaliana Kupambana kwa pamoja nina uhakika jana wangetoka Sare na Yanga SC au hata kama ni Kufungwa wangefungwa kwa Margin ndogo sana ( kwa Goli Moja ) matokeo yake nao wakatoka katika Mchezo wao wa Kwanza na kuanza Kutowaheshimu Yanga SC Kucheza Kibishoo ( Kifaza ) huku wakiwaiga Yanga SC ambao wana Wachezaji wa 'Class' Kubwa zaidi yao.

Wamenikera kuliko Maelezo Wapuuzi hawa Coastal Union FC.
Umemsahau Athumani Juma chama(Jogoo) na Salum Kabunda (Ninja) ndo zilikua kazi zao kudeal na washambuliaji wakorofi!!Said Mwamba kizota hata swahiba wako Pawasa anamjua vizuri!kuna mechi moja alichezea sana viwiko!mwamba alikua akiruka juu anaruka na ametanua mikono!ukijichanganya tu unacho!!
 
Mwanangu Kizota ndiyo alikuwa Mwalimu wangu wa Kupiga Visukusuku ( Viwiko / Vipepsi ) na kuna Mmoja nakumbuka alinichezea rafu ya Kimakusudi katika Mechi zetu za UMISSETA ( ya nchini Uganda ) nikiwa Timu Moja ya Kanda ya Mkoa ( Mji ) wa Luweero nikicheza na aliyekuwa Mshambuliaji Hatari baadae wa SC Villa na Uganda Cranes Anderw Mukasa na wala hakuniomba Radhi ambapo kilichofuata nakumbuka baadae alijaa mwenyewe katika Frame ( 18 zangu zilizotukuka ) na nikampa Kipepsi cha maana ambacho nakumbuka alizimia na alienda Kuamkia Mulago Hospital ( Muhimbili ) ya Uganda na tangia Siku hiyo alistaafu rasmi Kucheza na Mpira wenyewe.
 
ha ha ha 😀😁
 
so ww ndo ulimstaafisha ndugu yako kizota?
 
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi kubakia Kuzishangilia Timu zangu Kubwa na Pendwa Tatu tu duniani 1. Simba SC, 2. Liverpool FC na 3. Taifa Stars na hawa Wapuuzi wengine wawatafute wa Kuwashangilia.

Kila Siku natoa tu Maelekezo kwa Mabeki wa Timu zote ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kuwa Mshambuliaji Wao Fiston Mayele ana Shida katika Goti lake la Kulia hivyo apatikane tu Mchezaji Mmoja wa Kujitoa Mhanga aliguse, amuumize Kimchezo na atoke nje ili Kuidhoofisha Yanga SC lakini hawawezi hadi wanamuacha, wanamchekea na anawaadhibu pia.

Hapa ndipo ninapomkumbuka sana Rafiki yangu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) na Swahiba wangu Boniface Pawassa ( Katili ) kwani hawa ndiyo walikuwa Watu wa Kazi Maalum za Uwanjani hasa kwa Washambuliaji wenye Viherehere na Wasumbufu kama Mayele na huyu Mayele angekutana nao nina uhakika angeomba mwenyewe kwenda ( kurejea ) Kwao Kinshasa Congo akakate zake tu Viuno na Nduguze akina Fally Ipupa na Ferre Gola.

Coastal Union FC jana kama wangeamua kubakia na aina ule ya Mchezo wao wa dakika 15 tu za Kwanza na wakakubaliana Kupambana kwa pamoja nina uhakika jana wangetoka Sare na Yanga SC au hata kama ni Kufungwa wangefungwa kwa Margin ndogo sana ( kwa Goli Moja ) matokeo yake nao wakatoka katika Mchezo wao wa Kwanza na kuanza Kutowaheshimu Yanga SC Kucheza Kibishoo ( Kifaza ) huku wakiwaiga Yanga SC ambao wana Wachezaji wa 'Class' Kubwa zaidi yao.

Wamenikera kuliko Maelezo Wapuuzi hawa Coastal Union FC.
Hahahaha haaaaaaa.....
 
Back
Top Bottom