Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

😂😂wanatest wakijua ni soda hatimae kichwa kinakua kizito.
 
Nimeipenda hii"UHURU WA KWELI NI KUJIAMINI NA KUTAFUTA FURSA INAYOENDANA NA THAMANI YAKO"
 
Soda zenyewe sijui juice zile zinauzwa jero, tra kilasiku wanavuka malengo unataka wakulipe she ngapi? Elimu yenyewe Ni experienced tu wa secondary education sijui umeishia form two B, kwanza huo Ni mkubwa mno.
 
Wauza maduka ya nguo kino wengi wanalipwa 150,000 leo kampuni kubwa inamlipa dereva 130,000!
Mie naona JPM aruhusu waganda wakenya na wanyarwanda wajiiriwe muone Kama hizo mtazipata mtu mwenyewe dereva pyekepyeke nyingi kafungue duka ujiajiri
 
The end justifies the means... Kinachoangaliwa ni matokeo sio mchakato....
 
Mm binafisi nimewahi fanya biashara katika kiwanda cha tiles kule mkuranga kinamilikiwa na mchina anajiita goodwill aisee mshahara n kichomi sana
 
Ukweli mtupu 🤣🤣🤣!!!

Wengi tunataka uhakika wa kulipa kodi na kuishi vyema regardless ya kampuni ipate faida au la, so gross figure ikiwa ndogo automatically inakatisha tamaa.

Raha ya kazi ikuondolee stress za maisha ulipwe vizuri umudu cost na kubakiwa na kipande u save kidogo.
 
Mm binafisi nimewahi fanya biashara katika kiwanda cha tiles kule mkuranga kinamilikiwa na mchina anajiita goodwill aisee mshahara n kichomi sana
Ila si mnampigaga sana kwenye stoo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtanzania kadri unavyomlipa mshahara mkubwa ndio anazidi kuwa mvivu.......

Mshahara haumpi Mtanzania motisha ya kazi bali unampa nafasi ya kuwa mzembe na mwenye kiburi kazini....

Naongea kutokana na uzoefu
Hahahah hii sidhani kama inawagusa kada zote, daktari anaanzaje kuwa mvivu au mwalimu?
 
Watu wa sales wanalipwa kulingana na jinsi wanavyouza hapo hiyo 130000 ni Kama pesa ya kulinda mkataba, hayo magari hata akija dereva mpya tayari route zimeshatengenezwa hivyo hawezi kukosa incentive ya mwezi maana target inafika tu nje ya juhudi zake na hapo utakuta Kila mwezi analipwa mshahara tofauti Tena kuanzia 1000000, mauzo yote yanatokea sales na ili upitishe lazima utumie mtu wa route ndo maana watu wa sales wanawekewa hela kidogo kwenye mikataba lakini ndo watu wanalipwa vizuri na kuheshimiwa na makampuni.
 
Asante kwa maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…