mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
hakuna mwezi nafuu kama kipato chako kinasuasua!January na iheshimiwe na watu wote [emoji23]
dahUsilipe_ada
nimeupokea,ahsante sanaNunua vyakula muhimu kwa jumla weka ndani, lipia bills zote umeme maji
Usisahau hela ya dharula
Hata hela ikiisha kabla ya mwezi, hutolala njaa.
tegemezi ndio msaala, msosi tunajitegemea workers1. Nauli kwenda na kurudi kazini ni shingapi kwa siku? una kwenda siku ngapi kwa mwezi?
2. Chai na chakula cha mchana unapewa kazini? Unabeba kutoka nyumbani? Cha mchana kinauzwaje eneo lako la kazi?
3. Una tegemezi wangapi?
Tuanzie hapa kwanza.
ahsante chiefNunua vitu kwa jumla,panga jirani na kazini uokoe ya daladala.
Zipu na vizibo viweke likizo kwanza Hadi ukiwa safi.
Mshahara mdogo sana huu hata housegirl wa Oman,dubai haumfikii
nimekupata chiefUkitaka kuwa masikini zaidi na kuishi Kwa tabu kopa bank
noted chiefJitengenezee formula ya matumizi. Mfano 20% saving, 60 % matumizi ya kila siku kama nauli, chakula etc, 10% dharura na iliyobakia 10% ziada mfano kusaidia wazee na vitu kama hivyo.
Punguza kununua vitu ambavyo ni ziada na visivyo lazima mfano nguo sijui viatu vipya kila wakati, kutoka out sijui dinner out, vifaa vya ndani ya nyumba ambavyo vitakugharimu sana, kusaidia sana watu hata kama nj ndugu zako, kunywa pombe sijui kila weekend, kubet etc.
In short ukiweza masta hiyo formula hapo juu utakua unaishi kibahili na hiyo hela itakutosha
ukosahihi mkuuKwahyo ww huwezi kubajeti hiyo tekihomu ya chini ya 700k au sio......
Iko hivi swala la bajeti za kifedha huwezi shauriwa ila kwakua umeamuo kutuona namna unavyotuona haya tupe chai