Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

nimeupokea huu ushauri, ahsante chief
 
noted chief, japo najua ndugu watanitolea laana .nikiwapa mikausho ya miaka mitano
Yaani mshahara laki saba wategemezi ndugu wanautolea macho

Hapo kunatakiwa mambo mawili yafanyike

Kwanza ukoo wako wote unabidi ucharazwe viboko Kwa kuzalisha maskini ambao kutwa kukodolea macho mshahara mdogo wa ndugu Yao

Pili ukoo mzima ukazimishwe kufanyishwa kazi za kuingiza kipato zozote kiwe kilimo nk Kwa nguvu ili wajitegemee waache utegemezi
 
vp ndugu yangu haupo afrika?
hautujui waafrika tulivyo, hauja msikia mikel obi juzi huko uingereza ?
 

Umepanga, unaishi kwako/kwenu?
Single & marriage?
Uko mwenyw au na tegemezi,
Mkoa?
 
Watu wanaishi kwa 300k plus familia ya watu 8 na maisha yanasonga.Kuna mzee mmoja alinambia nyumban kwake kwa siku wanatumia 15k na idadi ya watu ni 16.


ISHI KWA UREFU WA KAMBA YAKO BRO
 
Fanya hivi ukitaka kuwa na PESA

Acha Ngo no
Acha pombe
Acha kubeti


Tafuta chumba kimoja kisafi na kizuri ishi umo kosizidi 100k

Usimsaidie MTU yeyote PESA kwa miaka 10 .

Mama na baba Kama wapo hai au una ndugu ambaye yupo chini ya 1-18 msapoti katika 5% ya kipato chako 25k kila mwezi.

Hakikisha unakuwa na ROHO ya kijahidina AMAS ndo utafika mbali.

Kila mwezi weka ratiba ya kununua chakula na kuweka ndani na mahitaji ya muhimu yote.

Save 400k kila mwezi tumia 300k na katika hiyo 300k ndo iwe inabeba kila kitu, kula , kodi, kusaidia au sadaka na kuweka akiba pia.

Hiyo 400k usiipigie hesabu acha ikae bank.
 
Mkuu
Ww unaweza kutimiza unavyomshauri mwenzio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…