Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

Inaumiza sana, sisi watoto wengi wa kiafrika hatujafundishwa kusimamia pesa.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoteseka sana na kudhibiti matumizi ya pesa.

Haya mambo wazungu wanaweza sana!
 
thanks u boss
 
Inaumiza sana, sisi watoto wengi wa kiafrika hatujafundishwa kusimamia pesa.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoteseka sana na kudhibiti matumizi ya pesa.

Haya mambo wazungu wanaweza sana!
sio kwamba kipato hakitoshi?
 
Kunywa pombe,
Kula pombe,
Nakuambia kula pombe mnama!

Hiyo hela ndogo sana, huwezi fanyia chochote, we kula pombe
 
Inaumiza sana, sisi watoto wengi wa kiafrika hatujafundishwa kusimamia pesa.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoteseka sana na kudhibiti matumizi ya pesa.

Haya mambo wazungu wanaweza sana!
Hivi wewe na vibasic vyenu vya 500K na viposho 300K utatoboa kweli?
Karibu biasharani achana na utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…