Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ kama huna pesa kuliko kuvaa kadeti bora utimbe zako Yale masulu kama ya wahindi yaliyokaa kama fuko la mashine yaani pajama sio pajama halafu chini raizoni,
Bora uonekane hamnazo.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Ila mikopo usipokua makini, unaweza kurukwa na akili maana hela ya mkopo umeshatumia imeisha, makato yamechanganya na mkopo bado sanaaa kuisha.
 
Kupitia hiyo salary jibane Sana u save mil 1 then anzisha biashara ya kuwakopa walimu wenzako laki moja kwa elfu 20 na laki mbili 40 Ila ukiwa na muda wekeza katika biashara ya mazao kuwa middle broker .


Katika hizo biashara zako ukiona zinaenda vizuri basi kachukue mkopo bank ambao sio mkubwa na ambao hautaathiri mshahara wako Sana. Then bust biashara yako.


Kuhusu kujenga usijenge kipindi hiki ambacho haujawa na financial freedom , bali anza kujenga kipindi ambacho utakuwa unaingiza hela kila siku. Ila waweza Ku-invest katika viwanja tu.
Kasema wapi kuwa ni mwalimu?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kuna mwenzio huko, analambwa ngoma yote anabakiza kilo tu huko kaibuka anaiomba serekali iingilie kati
Ndio zetu, kuingia uingie wewe kwenye makali ulianzishe na kuomba iingilie kati wazaw tunanyanyasik[emoji41]
 
Kwa ujumla Kama kwa basic yako maisha Bado yanakupiga basi unatatizo acha kubeti,na Kama ukikopa basi ndio utaishi Kama shetani zaidi,pia acha kukimbilia kununua vitu vya thamani pindi mshahara unapotoka.Eboo! Yaani unashindwa kusave japo laki 1 kwa mwezi? unafamilia ya watu wangapi hata Kama ndugu wanakutegemea.
 
Huwezi kuhalalisha wizi kuwa kipato halali, hiyo take home yako inatosha Kwa bill ya umeme, maji na chakula labda cha wiki moja tu.
Daaaah... Kweli watu wana mbinu kali kuishi kwa 270K kwa mwezi inawezekanaje kwa mtu mwenye familia na ndugu tegemezi ambao hawakwepeki kwa jamii zetu za kiafrika???
 
Fanya savings tatufata side hustle kwa hiyo saving kidogo uliyofanya . Kwa huo mshahara achana na mikopo
 
Ukitaka kufanya jambo lako sasa hivi, usiulize ushauri mitandaoni. Humu kuna watu wa kila aina, wengine humu watakwambia mshahara wa million 1 ni mdogo sana hautoshi kitu kumbe hata kazi hana.

Tafuta ushauri sehemu sahihi na kwa watu sahihi.
Mkuu kwa upande mwingine unaweza kuwa sahihi lakini niseme tu humu ni sehemu ambayo unaweza kupewa ushauri mzuri sana tofauti na sehemu zingine.

Sababu kuu ni kwamba anayekupa ushauri humu ni mtu asiyekujua, asiye na wivu au kinyongo na wewe tofauti na mtu anayekufamu ukienda kumuomba ushauri tegemea yafuatayo "kukusema kwa watu, kukuchora, kukudharau n.k...Na ndio maana watu huomba ushauri humu kwa anonymous ID.

Kuna watu humu ni waheshimiwa wakubwa tu, wabunge, Maboss wa kampuni kubwa, waajiriwa sekta mbali mbali n.k.. Achilia mbali kundi la vijana wa hovyo hilo lipo kila sehemu.
 
Unataka kuanzisha biashara au unataka kuendeleza biashara ?, hiyo biashara unaisimamia mwenyewe au unaweka mtu ?. Kua makini.
 
Mkuu uzuri sijawahi kujiweka mtu wa maisha ya juu,nadhani members wengi wanajua mimi mwalimu,kama ukipata muda karibu liwale lindi,niko kijiji cha mpigamiti

Karibu sana
Safi sana Teacher,ila iko kijiji inaonekana kuna Mapididy wengi sana ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom