Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
ππIla mikopo usipokua makini, unaweza kurukwa na akili maana hela ya mkopo umeshatumia imeisha, makato yamechanganya na mkopo bado sanaaa kuisha.πππ kama huna pesa kuliko kuvaa kadeti bora utimbe zako Yale masulu kama ya wahindi yaliyokaa kama fuko la mashine yaani pajama sio pajama halafu chini raizoni,
Bora uonekane hamnazo.
Sasa hapo si ndio kwaanza utazidisha njaa.tatizo njaa kaka!
Kasema wapi kuwa ni mwalimu?ππKupitia hiyo salary jibane Sana u save mil 1 then anzisha biashara ya kuwakopa walimu wenzako laki moja kwa elfu 20 na laki mbili 40 Ila ukiwa na muda wekeza katika biashara ya mazao kuwa middle broker .
Katika hizo biashara zako ukiona zinaenda vizuri basi kachukue mkopo bank ambao sio mkubwa na ambao hautaathiri mshahara wako Sana. Then bust biashara yako.
Kuhusu kujenga usijenge kipindi hiki ambacho haujawa na financial freedom , bali anza kujenga kipindi ambacho utakuwa unaingiza hela kila siku. Ila waweza Ku-invest katika viwanja tu.
Hata asipokuwa Mwalimu ,ikiwa workmate wake wanakuja hiyo 700k+ basi anaweza pita umo umoKasema wapi kuwa ni mwalimu?ππ
Ndio zetu, kuingia uingie wewe kwenye makali ulianzishe na kuomba iingilie kati wazaw tunanyanyasik[emoji41]Kuna mwenzio huko, analambwa ngoma yote anabakiza kilo tu huko kaibuka anaiomba serekali iingilie kati
Na ukute hapo ni mkopo wa kuanzisha biashara au kujenga nyumba ya kuishi.Mikopo imewafanya watumishi sana kuwa masikini huku mabank yakitajirika
Daaaah... Kweli watu wana mbinu kali kuishi kwa 270K kwa mwezi inawezekanaje kwa mtu mwenye familia na ndugu tegemezi ambao hawakwepeki kwa jamii zetu za kiafrika???Huwezi kuhalalisha wizi kuwa kipato halali, hiyo take home yako inatosha Kwa bill ya umeme, maji na chakula labda cha wiki moja tu.
Hahahah πKuna mwenzio huko, analambwa ngoma yote anabakiza kilo tu huko kaibuka anaiomba serekali iingilie kati
Mkuu kwa upande mwingine unaweza kuwa sahihi lakini niseme tu humu ni sehemu ambayo unaweza kupewa ushauri mzuri sana tofauti na sehemu zingine.Ukitaka kufanya jambo lako sasa hivi, usiulize ushauri mitandaoni. Humu kuna watu wa kila aina, wengine humu watakwambia mshahara wa million 1 ni mdogo sana hautoshi kitu kumbe hata kazi hana.
Tafuta ushauri sehemu sahihi na kwa watu sahihi.
Safi sana Teacher,ila iko kijiji inaonekana kuna Mapididy wengi sana πMkuu uzuri sijawahi kujiweka mtu wa maisha ya juu,nadhani members wengi wanajua mimi mwalimu,kama ukipata muda karibu liwale lindi,niko kijiji cha mpigamiti
Karibu sana