Kwa msimamo wa sasa wa kundi la Yanga, kuna matumaini kiasi gani watafuzu robo fainali ?

Unajiita Bright ila mgumu kuelewa. Jamaa wanakwabia wanaagalia H2H kati ya yanga na belozidad. So Hata yanga apigwe goli 100 ameshafuzu

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Jamaa kichwani mtupu kweli ndio uncle bright huyu kweli au labda hajui maana ya head to head tumfafanulie..
 

Ndio maaanake kwa maelezo yako belouizdad angekuwa na advantage ya kupita kwakuwa kampia goli nyingi kulingana na sheria ila ikitokea imefungana point na hakuna aliemzidi mwenzie walipokutana ndio wangeangalia goal difference
 
Nje ya mada. ningependa tu kuuliza kwan mara ya mwisho mwarabu kufungwa goli 4 ilikuwa mwaka gani?

Mwaka jana tarehe 22/4/2023 na mwaka 2021 tarehe 28/2/2021 belouizdad walifungwa 5-1 na mamelodi sundown hawa hawa belouizdad walifungwa na mamelodi sundown 4-1
 
Siyo kosa lako. Kosa lipo kwa Mwenyekiti wenu wa zamani Rage, kuwaita jina la mbumbumbu. Na matokeo yake ndiyo haya sasa.
 
Hata yanga ikifungwa 100 na Medeama nayop ikafungwa 100 bado Yanga anakwenda robo fainali. Case closed

Timu ambazo tiketi zake kwende robo fainali zimeshakamilika ni kama Ifuatavyo:

Group A:
Mamelodi Sundows
TP Mazembe

Group B
ASEC Mimosas

Group C
Petro de Luanda

Group D
Al Ahly
Young Africans

Ambao bado wanajitafuta wanasubiri matokeo ya raundi ya mwisho ni pamoja na

Group B:
Simba
Wydad

Group C:
ES Tunis
Al Hilal
 
Hawaangalii gd wanaangalia mlipokutana nani alikula goli nyingi,,,kwahio Yanga ameshapita
Ni the same simba akishinda na waydad naye ashinde. Simba anafuzu kwa faida ya head to head alimfunga waydad 2 bila wakati waydad alimfunga simba 1
 
Mwaka jana tarehe 22/4/2023 na mwaka 2021 tarehe 28/2/2021 belouizdad walifungwa 5-1 na mamelodi sundown hawa hawa belouizdad walifungwa na mamelodi sundown 4-1
Ahsante ! Ila nilikuwa nataka kwa hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…