Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Pamoja na kutoelewa kwake, pia kitu kingine kilichokua kinamsumbua kufanya ubongo wake usifanye kazi ni uSimba wake. Simba hawaamini kilichotokea.Huyu bwana sijui haelewi?
Cc Uncle bright
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kutoelewa kwake, pia kitu kingine kilichokua kinamsumbua kufanya ubongo wake usifanye kazi ni uSimba wake. Simba hawaamini kilichotokea.Huyu bwana sijui haelewi?
Jamaa kichwani mtupu kweli ndio uncle bright huyu kweli au labda hajui maana ya head to head tumfafanulie..Unajiita Bright ila mgumu kuelewa. Jamaa wanakwabia wanaagalia H2H kati ya yanga na belozidad. So Hata yanga apigwe goli 100 ameshafuzu
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hilo sikujua mkuu, kwa hio leo Yanga angemfunga Belouzdad goli 2 huku Belouzdad aliifunga goli 3 Yanga, inamaanisha kwamba hata Yanga angemfunga Al Ahly goli tano na Belouzdad afungwe na Medeama kisha Yanga na Belouzada wafanane point, Yanga asingefuzu ?
Nje ya mada. ningependa tu kuuliza kwan mara ya mwisho mwarabu kufungwa goli 4 ilikuwa mwaka gani?
Siyo kosa lako. Kosa lipo kwa Mwenyekiti wenu wa zamani Rage, kuwaita jina la mbumbumbu. Na matokeo yake ndiyo haya sasa.EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi
View attachment 2915213
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)
Mechi za kumalizia
Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria
Medeama ni kibonde wa kundi si ajabu akapigwa hata nne, Yanga na Al Ahly washajipigia za kutosha wakiwa nyumbani
IKIWA YANGA ATAPIGWA TATU KAMA ALIZOPIGWA NA BELOUZDAD UGENINI, KISHA MEDEAME APIGWE NNE NA BELOUZDAD, SAFARI ITAENDELEA ?
Hata yanga ikifungwa 100 na Medeama nayop ikafungwa 100 bado Yanga anakwenda robo fainali. Case closedEDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi
View attachment 2915213
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)
Mechi za kumalizia
Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria
Medeama ni kibonde wa kundi si ajabu akapigwa hata nne, Yanga na Al Ahly washajipigia za kutosha wakiwa nyumbani
IKIWA YANGA ATAPIGWA TATU KAMA ALIZOPIGWA NA BELOUZDAD UGENINI, KISHA MEDEAME APIGWE NNE NA BELOUZDAD, SAFARI ITAENDELEA ?
Ni the same simba akishinda na waydad naye ashinde. Simba anafuzu kwa faida ya head to head alimfunga waydad 2 bila wakati waydad alimfunga simba 1Hawaangalii gd wanaangalia mlipokutana nani alikula goli nyingi,,,kwahio Yanga ameshapita
Ahsante ! Ila nilikuwa nataka kwa hapa bongoMwaka jana tarehe 22/4/2023 na mwaka 2021 tarehe 28/2/2021 belouizdad walifungwa 5-1 na mamelodi sundown hawa hawa belouizdad walifungwa na mamelodi sundown 4-1
Ahsante ! Ila nilikuwa nataka kwa hapa bongo
Kwa hapa bongo hakuna timu iliowahi kumfunga mwarabu kwa mkapa