Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa.

Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni Chato, utalii ni Chato na sasa wageni wa kimataifa ni Chato.

Kwa wenye sehemu za uwekezaji Chato, hiki ndo kipindi cha kujijenga, hata kiutalii wa kimataifa lazima ndani ya miaka hii minne iingie kwenye ramani ili baada ya kustaafu pawe pamezoeleka na paendeleee kuingiza hela.

Hongera sana JPM. Kweli umejiandaa na maisha baada ya kustaafu!

Nje ya Mada.
Poleni wana Kigoma. Hii documentary ya Mabeberu sio tu imewavua nguo bali imewadhalilisha vibayaaa!!

Acha watu wanufaishe kwao tu

Endelea tu kuendekeza uzezeta wako wakati mwenzako anajijenga awe tycoon baada ya kustaafu!! Kalaghabao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?

Hiyo reli anayojenga ni kwa manufaa yake? Hela zitakuwa zinaingia kwenye account ya familia yake?

Bora ungeondoka na Lisu uende kwa Amsterdam tu
 
Unajua waziri wa China na delegation yake wamelala hoteli ipi???

Unajua mawaziri na timu yote ya serikali iliyoamkia leo Chato wamelala hoteli ya nani?!

Unajua kiwanda kinachojengwa pale chato na kitakuwa kinauza samaki na bidhaa zake chato ni cha nani???

Uzuri sina akili za kimaskini ila nawafumbua tu akili zenu vilaza wa lumumba nyie.
 
Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?

Kulala wapi wewe inakuhusu nini?

Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?

Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
 
Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?

Kulala wapi wewe inakuhusu nini?..
Kweli wewe ni kilaza. Hata hoja kuu hujaielewa

Mie namsifu huyo unayemshobokea kwa kujiandaa vizuri na maisha baada ya kustaafu wewe unadhani mie Nina chuki nae
 
Kweli wewe ni kilaza. Hata hoja kuu hujaielewa

Mie namsifu huyo unayemshobokea kwa kujiandaa vizuri na maisha baada ya kustaafu wewe unadhani mie Nina chuki nae
Ukilaza wako unajukikana mkuu!

Kinachofanyika siyo kwa ajili ya Magufuli kujinufaisha. Ni kwa ajili yako wewe na ukoo wako kule kijijini kwenu.

Kwa akili zako hizi bora uendelee kushabikia Amsterdam tu
 
Sasa hivi kuna kitu kinaitwa - Republic of People of Chato - RPC tofauti na hii yetu ya United Republic of Tanzania
 
Lissu ndio raisi ajaye
Mwaka huu hatutakubali kuibiwa kura
Tukiibiwa tunaingia barabarani
Kuanzia tarehe 2/11 kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo.
Tunaenda ICC
 
Tigershark
Ni kwanini hutaki kuwa mzalendo kwa kudai lisiti baada ya kununua bidhaa?
Bila risiti napata punguzo la bei!Najua na risiti ninakuwa nimewezesha kodi kupatikana,shida inakuja kwenye matumizi ya hiyo kodi!
Kama ndio hivyo kwenda kuibadili chato kuwa Beijing hapana aisee!Rasilimali zigawanywe kwa usawa na vipaumbele halafu ndio uje uniambie mambo ya kuwa mzalendo!
 
Kwa mfumo aliouasisi KILA ajae atajenga kwao kwa kutumia Kodi za wote,si ajabu ajae akatokea mikumi nae atahakikisha anaibadili mikumi atajenga international airport, uwanja wa mpira,nk ndo tunapoelekea,
Akiingia mwingine wa lushoto nae atajenga international airport na ikulu mpya kwao,
 
Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?

Kulala wapi wewe inakuhusu nini?

Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?

Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
Yamkute ya ben
 
Back
Top Bottom