Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Viashiria havionyeshiNani kakuambia Huyu mtu anasitaafu 2025?
Viashiria havionyeshiNani kakuambia Huyu mtu anasitaafu 2025?
Bila risiti ina bei yake tofauti na risiti!Mimi binafsi pangekuwa na option ya kukwepa Kodi wallahi ningekuwa wa kwanza Ili nijihudumie mwenyewe kuliko kufaidisha watu watufanyao sie mashamba yao
Ukilaza wako unajukikana mkuu!
Kinachofanyika siyo kwa ajili ya Magufuli kujinufaisha. Ni kwa ajili yako wewe na ukoo wako kule kijijini kwenu.
Kwa akili zako hizi bora uendelee kushabikia Amsterdam tu
Tujivunie mshamba wetu huyu.maskini akipata matakohulia mbwataa.tufanyeje sasa???Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?
Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?
Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
Mshamba nani sasa? Mjanja wenu mbona kakimbilia kwa mwanaume mwenzie?Tujivunie mshamba wetu huyu.maskini akipata matakohulia mbwataa.tufanyeje sasa???
Andaa 1.5M na pia utamponza muuzaji maana yeye ni twice ya kwakoNimejikuta nakata tamaa kudai risiti nikinunua bidhaa!
Siwezi kudai,labda ajikute tu amenipa!Andaa 1.5M na pia utamponza muuzaji maana yeye ni twice ya kwako
Jiandae pesa mkononi za fainiNimejikuta nakata tamaa kudai risiti nikinunua bidhaa!
Yeah,haina noma!Mpaka nije nikamatwe nadhani hiyo faini itakuwa imejilipa kwenye punguzo la bei bila risiti!Jiandae pesa mkononi za faini
Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili.
Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa.
Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni Chato, utalii ni Chato na sasa wageni wa kimataifa ni Chato.
Kwa wenye sehemu za uwekezaji chato, hiki ndo kipindi cha kujijenga, hata kiutalii wa kimataifa lazima ndani ya miaka hii minne iingie kwenye ramani ili baada ya kustaafu pawe pamezoeleka na paendeleee kuingiza hela.
Hongera sana JPM. Kweli umejiandaa na maisha baada ya kustaafu!
Nje ya Mada.
Poleni wana Kigoma. Hii documentary ya Mabeberu sio tu imewavua nguo bali imewadhalilisha vibayaaa!!
Acha watu wanufaishe kwao tu
Kesho unakuja kulalamika hapa barabara mbovu,mara hakuna ongezeko la mshahara wakati kwa uzembe umeacha kodi yetu imepotea.Yeah,haina noma!Mpaka nije nikamatwe nadhani hiyo faini itakuwa imejilipa kwenye punguzo la bei bila risiti!
Mzee umenena hakikaKuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
halafu
Kwani Kigoma hawalipi kodi??? Mbona hawajajengewa miondombinu bora??? Umeangalia kweli iyo documentary hapo??? Au unacomment tu kwa sababu upo Lumumba?Kesho unakuja kulalamika hapa barabara mbovu,mara hakuna ongezeko la mshahara wakati kwa uzembe umeacha kodi yetu imepotea.
Yani na haya anayoyafanya kule chato ndo asistaafu iyo 2025??? Kweli atakuwa mroho wa madaraka kwa kweli.Nani kakuambia Huyu mtu anasitaafu 2025?
Muite Kabudi mzee wa kujipendekezaChato kuwa kama miji ya China - Kabudi
Mwambie huyu zezetaYamkute ya ben
EwaaaaaaaCHATTLE GBADOLITE.