Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Huna unaloelewa zaidi ya chuki tu, na hapo ndipo upumbavu ulipo.Umepata Moto mkuu, jimwagie maji kupunguza joto. Akili zitarudi utaelewa tunachokwambia
Huna unaloelewa zaidi ya chuki tu, na hapo ndipo upumbavu ulipo.Umepata Moto mkuu, jimwagie maji kupunguza joto. Akili zitarudi utaelewa tunachokwambia
Kwani ukimwambia mtu mrefu au mfupi utakuwa umemtukana?Huna unaloelewa zaidi ya chuki tu, na hapo ndipo upumbavu ulipo.
Wewe ulitaka vikakae sehemu gani?Boss tunaona, usidhani hatuna uwezo wa kuona haya yanayoendelea. Nyerere alikaa madarakani miaka 24, mbona hivi vitu vilivyoko Chato sasa, havikuwa Butiama?
Angeelekeza upande wa kusini wale wa magharibi nao wangesemaje?
Huko anakojenga hawaishi watz ila wanaishi wajapan?
Nimekwambia huna hoja zaidi ya chuki tu.Kwani ukimwambia mtu mrefu au mfupi utakuwa umemtukana?
Upumbavu no sifa hata wewe unao.
Jenga hoja mkuu acha mipasho
Hahaha! Mdogo wangu umeishiwa kaa kimya, Kama mlo wa Kila siku unapewa.Nimekwambia huna hoja zaidi ya chuki tu.
Na chuki buambatana na upumbavu
Vitaje tuvione na kisha uoneshe na ushahidi kwamba vinamnufaisha yeye rais na si wanachi wa maeneo hayona kwamba hata rais akiondoka vitu hivyo vitaendelea kuingia mfukoni mwake na si selikalini.Huvioni, au ndiyo upofu wa shine?
Endelea kupiga debeVitaje tuvione na kisha uoneshe na ushahidi kwamba vinamnufaisha yeye rais na si wanachi wa maeneo hayona kwamba hata rais akiondoka vitu hivyo vitaendelea kuingia mfukoni mwake na si selikalini.
Taarifa zipi unazozijua wewe?
Yani unataka kwa vile anajipikia basi yeye awe anashinda njaa ila wale wanaopikiwa washibe?Angeelekeza kusini watu tungeamini uzalendo wake. Inawezekana vipi uwe mpishi kisha sahani yako ijae nyama kuliko za wengine? Toka mwanzo tulikuwa tunajua sio mtu mzalendo, lakini matumizi mabaya ya madaraka ndio yanaoogopesha watu kuongea ukweli. Halafu kuna watu wanasema ni kiongozi muadilifu kama Nyerere. Propaganda imefika mwisho, ukweli uko wazi peupe.
Sasa uoga wako unataka mimi nikusaidieje?Nitajua taarifa gani mtu kama mimi boss, ila naona Mobutu wa Tanzania kwa koti la utanzania. Boss ni hivi, hakuna wajinga wa hivyo, watu wako kimya kuhofia kuuwawa, lakini afanyacho hakikubaliki. Ww tetea maana uko mezani kwenye mlo.
Endelea kubezaEndelea kupiga debe
Chuki hazitakuongezea mlo hapo mezani kwako! Chapa kazi, hivyo vitu hata vingekuja kujengwa uwanjani kwako bado ungendelea kuwa masikini kama hujui kutumia fursa.Hahaha! Mdogo wangu umeishiwa kaa kimya, Kama mlo wa Kila siku unapewa.
Unaweza kujiona una ufahamu kumbe zoba tu na hii yote ni kutokana na chuki kwa mtu anaeongoza hata ukigongewa wife wako utamlaumu anaekuongoza. Ndio akili zenu zilivyo.
Usifikiri mimi ni mjinga kwamba nashangilia kila kitu hapana. Lakini ukosoaji wa kijinga kisa anaefanya humpendi huo ni upumbavu.
Wewe ulitaka vikakae sehemu gani?
Yani unataka kwa vile rais anatoka huko basi asipeleke chochote ila kubaki tu kutupu maana akipeleka nyie mtasema anajipendelea?
Huyo Nyerere unaemsema yeye alikataa hata kujengewa nyumba, sasa unataka hadi leo watu waendelee kuishi kwenye akili na fikra hizohizo?
Na je hivyo vitu vya chato vunaingia mfukoni mwa rais au kwa wananchi wa eneo hilo?
Mbona wewe kila siku unahoji humu na hupotei?Usitake kujifichia kwenye kichaka kuwa anachukiwa, huwezi kutoka kwa Utetezi mwepesi hivyo, kinachofanyika kinaonekana, ila kwakuwa kila atakayethubutu kuhoji hayo atapoteza maisha, ndio unaita ukosoaji wa kijinga. Eti ukosoaji wa kijinga, ulitaka ukosoaji wa aina gani kwa mfano?
Kavijengee uwanjani kwake tuone akiendelea kuwa masikini.Chuki hazitakuongezea mlo hapo mezani kwako! Chapa kazi, hivyo vitu hata vingekuja kujengwa uwanjani kwako bado ungendelea kuwa masikini kama hujui kutumia fursa.
Usipojenga kwenu unakuwa muadilifu? Hizo fikra zenu za enzi za Nyerere zilishapitwa na wakati.Nyerere alikataa kujengewa huko kwao maana alikuwa muadilifu, na alijua maana ya kutokujipendelea kwa kiongozi. Kama huyu hawezi kuendelea kuishi kwa fikra za Nyerere, huwa mnafaninisha na Nyerere ili kumuhadaa nani?
Ndio maana hajaenda kujengewa sababu kanuni za uchumi haziko hivyo.Kavijengee uwanjani kwake tuone akiendelea kuwa masikini.
Mbona wewe kila siku unahoji humu na hupotei?
Alafu mnapomkosoa Magu mkosoeni kwa fact siyo kwa soga tu za vijiweni kwenu huko.
Mmekomaa tu eti Chato, kwani chato yanakaa mawe? Si watu?
Mfano hivyo alivyojenga huko angeenda kujenga kule kwetu Iringa ina maana hadi moshi wangefaidi ila akijenga chato watu wa moshi hawatafaidi maana chato yanakaa mawe!
Ujinga tu