Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.Kwani Kigoma hawalipi kodi??? Mbona hawajajengewa miondombinu bora??? Umeangalia kweli iyo documentary hapo??? Au unacomment tu kwa sababu upo Lumumba?
Then lini unaibuka Brussels kumpa Mzee wako gwala?