Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Wewe ulitaka vikakae sehemu gani?

Yani unataka kwa vile rais anatoka huko basi asipeleke chochote ila kubaki tu kutupu maana akipeleka nyie mtasema anajipendelea?

Huyo Nyerere unaemsema yeye alikataa hata kujengewa nyumba, sasa unataka hadi leo watu waendelee kuishi kwenye akili na fikra hizohizo?

Na je hivyo vitu vya chato vunaingia mfukoni mwa rais au kwa wananchi wa eneo hilo?
Kwa iyo hoteli zake alizojenga chato ni za wananchi???
 
Usipojenga kwenu unakuwa muadilifu? Hizo fikra zenu za enzi za Nyerere zilishapitwa na wakati.

Nyerere anasehemu zake za kumuiga siyo hiyo ya kukataa kujenga kwenu eti kisa utaonekena unaoendelea kwenu.

Uadilifu wa Nyerere ulionekana kwa vitendo na sio kwa maneno. Uadilifu una wakati mpaka useme umepitwa na wakati?
 
Mbona wewe kila siku unahoji humu na hupotei?

Alafu mnapomkosoa Magu mkosoeni kwa fact siyo kwa soga tu za vijiweni kwenu huko.

Mmekomaa tu eti Chato, kwani chato yanakaa mawe? Si watu?

Mfano hivyo alivyojenga huko angeenda kujenga kule kwetu Iringa ina maana hadi moshi wangefaidi ila akijenga chato watu wa moshi hawatafaidi maana chato yanakaa mawe!

Ujinga tu
Keki ya taifa iliwe na wote,Kama angejenga iringa watu wasingesema Wala kulalamika
 
Ninahoji huku vichochoroni na sio hadharani. Hiki ninachohoji nikihoji kwenye redio au TV itakuwa habari nyingine.

Hizo facts ndio hizo unapewa hapa unaishia kutoa povu. Na tumekupa mfano wa Nyerere ambaye ni rais muadilifu, na aliyejua namna ya kujenga nchi bila dalili zozote za upendeleo wa atokako. Hakuna anayekataa miradi kadhaa kwenda Chato, ila sio kwa kiwango hicho, hasa kwa mtu anayetaka tuamini kuwa ni mzalendo. Kipimo cha rais mzalendo nchi hii ni Nyerere, je kuna ufanano kwa hiki kinachoendelea?
Ukiona watu hawahoji ujue hawaoni cha kuhoji.

Wewe ulitaka apeleke kwa kiwango gani labda?

Yeye na timu yake wametathimi wameona Chato ipelekewe hayo unayoyaona.

Hivi katika hii nchi hakuna miradi mingine inaendelea ila ni hiyo ya chato tu?

Mbona kuna mamiradi ya matililioni ya hela inaendelea sehemu tofauti tafauti kila kona ya nchi? Kwanini chato tu ndio inaonekana?

Fikira za nyerere kwamba huwezi kuendeleza kwenu kisa kuogopa kuambiwa unajipendelea ni ujinga na zimepitwa na wakati.

Magufuli ameanzisha miradi sehemu nyungi sana za nchi siyo chato tu. Hivyo hoja yenu hii ni mufilisi.
 
Boss tunaona, usidhani hatuna uwezo wa kuona haya yanayoendelea. Nyerere alikaa madarakani miaka 24, mbona hivi vitu vilivyoko Chato sasa, havikuwa Butiama?
Leo hii wanamcheka Nyerere na familia yake vibaya kuwa hakuwaza kuwa kuna maisha baada ya uongozi ndo mana familia yake hawaonekani kwenye ramani za biashara au siasa nchini
 
Uadilifu wa Nyerere ulionekana kwa vitendo na sio kwa maneno. Uadilifu una wakati mpaka useme umepitwa na wakati?
Nmekwambia kutelekeza kwenu kisa kuogopa kuambiwa unajipendelea ni ujinga.
 
Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.

Then lini unaibuka Brussels kumpa Mzee wako gwala?
Kwani tumepata uhuru jana?
 
Sasa umeongea kwa akili, naona zimekurudi bila wewe kujua.
Kwahiyo jamaa anajua kutumia fulsa siyo?
Fursa ipi sasa?

Nmekuuliza hayo aliyofanya yatakuwa yanaingia mfukoni mwake?

Kwamba vile vitu vina umiliki wa Magufuli na hata akitoka madarakani vinakuwa mali yake na si selikili? Una ushahidi wowote kuhusu hilo?
 
Mgawanyo wa keki au hujaelewa?
Iringa umetoa mfano tu lakini ipo mikoa yenye fulsa nyingi lakini hakuna kuendelezwa kwanini chato?
Kwanini usihoji miradi kama ya reli na babara za juu zinazoendelea kujengwa dar? Je hizo zinapita miko yote kwa sasa?
 
Fursa ipi sasa?

Nmekuuliza hayo aliyofanya yatakuwa yanaingia mfukoni mwake?

Kwamba vile vitu vina umiliki wa Magufuli na hata akitoka madarakani vinakuwa mali yake na si selikili? Una ushahidi wowote kuhusu hilo?
Alaa unatoka na kuingia Kama Kobe!!!!
 
Back
Top Bottom