Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Sasa kama hujui hata lengo la ziara ya waziri mkuu wa china hapa nyumbani na lengo la kukutanika kule chato utakuwa unajua nini zaidi ya porojo?
Kwani lengo la ziara ni kupajua chato ndo apelekwe Chato?
 
Yani mimi nikikwambia jengo flani ni ka kiongozi flani uniamini tu bila evidance yeyote?..

Ndio mnachofundishwa huko chadema?
Mbona umesema JPM ana miradi mbalimbali mikoani na hujaitaja?? Na wewe ni Chadema?
 
tunasema maendeleo lazima yatawanyikie ili kusudi mzubguko wa pesa ufaidishe maeneo mbalimbali.mim nashangaa sana hivi mim sina chama chochote.ila hivi ikitokea sehem ikawa inainuka kiuchumi na ina vigezo vyote kwanini tunakuwa na gagaziko kubwa ,Chato ni eneo ambalo wewe ungekua mwanajiografia na mpenda maendeleo bila kuegema upande wowote ungefurahi.kule kuna ziwa victoria,ebu angalia maeneo yenye maziwa sehem mbalimbal jins yalivyoendeleani sawa sawa na maeneo yenye migodi,angalia miji kama nnagawa,fukushima jinsi ilivyo yote hii kutokana na uwepo wa ziwa,pili kuna shughul ya uvuv wa Tilapias au sangara ambao wana soko kubwa nchi za nje wapo chato,sasa pakiendelea pakavutia wawekezaj weng utakuwa umepoteza nini!??? kuna kisiwa cha rubondo kizuri ajabu kwa utalii anuwai mfano,kuvua,kupiga picha kuendesha maboti, kwa kin kule kusiende mapesa? maana pana kila kigezo cha kuwekezwa, ni eneo ambalo lina population kubwa ya watu tayari ni mtaji,ipo karibu na nchi za maziwa makuu.ikimaanisha itavutia biashara na nchi jirani.sabab zipo nyingi sanaa.
huko hata sijawah kufika ila nashangaaga sana jinsi wabongo wanavokuwa na chuki binafs bila hata kueleza kwanin kusiwe na mae ndeleo.mana mim kwa upande wangu naona kuna resource s ambazo kwa nchi nyingine saa hiz wapo mbali
China Cha liganga kinachimbwa, au nako hakuna resources?
Hakuhitaji maendeleo?
 
Shangaa sana mkuu!

Magufuli ana miradi kila kona ya nchi hii ila kwakuwa watu wana chuki zao binafsi inaonekana ya chato tu.

Ndio hawa pia wanalalamika kwamba Magufuli anawabagua kabila flani. Ni ujinga sana umewajaa hawa watu
Hebu iweke wazi hiyo miradi tuijue, kwa maneno haya mheshimiwa no fisadi
 
Sasa kama hujui hata lengo la ziara ya waziri mkuu wa china hapa nyumbani na lengo la kukutanika kule chato utakuwa unajua nini zaidi ya porojo?

Hivi ni waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje wa China, au ukweli unaosemwa hapa umekuvuruga?
 
Kama ana miradi nchi nzima Basi no fisadiSiyo?
Umesikia Raisi wa Msumbuji nae ziarani wilayani Chato kwa siku mbili. Kweli hoteli za Muheshimiwa Safari hii lazima zitengeneze dolari za kutosha.

Hongera sana JPM. Wewe ndo unajua kuwatandika wabongo vizuri
 
Fuatilia mwenyewe unataka utavuniwe kila kitu!!?
Kuleni nchi wanawane. Awamu yenu hii. Naskia mnaiandaa chato kibiashara, hoteli zake zizoee kupokea watu wa kimataifa ili zipate uzoefu muendelee kupiga hela baada ya 2025.
 
Back
Top Bottom