Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Tuchukulie mifano miwili tuu halafu urudi hapa.
Mobutu na Gbdolite ,halafu Houmphrey na Yamasoukrou
Ujenzi wa Chatto ni ujinga kama ya marais wa DRC na Ivory Coast
Wehu mtupu at our expenses.
 
tunasema maendeleo lazima yatawanyikie ili kusudi mzubguko wa pesa ufaidishe maeneo mbalimbali.mim nashangaa sana hivi mim sina chama chochote.ila hivi ikitokea sehem ikawa inainuka kiuchumi na ina vigezo vyote kwanini tunakuwa na gagaziko kubwa ,Chato ni eneo ambalo wewe ungekua mwanajiografia na mpenda maendeleo bila kuegema upande wowote ungefurahi.kule kuna ziwa victoria,ebu angalia maeneo yenye maziwa sehem mbalimbal jins yalivyoendeleani sawa sawa na maeneo yenye migodi,angalia miji kama nnagawa,fukushima jinsi ilivyo yote hii kutokana na uwepo wa ziwa,pili kuna shughul ya uvuv wa Tilapias au sangara ambao wana soko kubwa nchi za nje wapo chato,sasa pakiendelea pakavutia wawekezaj weng utakuwa umepoteza nini!??? kuna kisiwa cha rubondo kizuri ajabu kwa utalii anuwai mfano,kuvua,kupiga picha kuendesha maboti, kwa kin kule kusiende mapesa? maana pana kila kigezo cha kuwekezwa, ni eneo ambalo lina population kubwa ya watu tayari ni mtaji,ipo karibu na nchi za maziwa makuu.ikimaanisha itavutia biashara na nchi jirani.sabab zipo nyingi sanaa.
huko hata sijawah kufika ila nashangaaga sana jinsi wabongo wanavokuwa na chuki binafs bila hata kueleza kwanin kusiwe na mae ndeleo.mana mim kwa upande wangu naona kuna resource s ambazo kwa nchi nyingine saa hiz wapo mbali
 
Kwa mfumo aliouasisi KILA ajae atajenga kwao kwa kutumia Kodi za wote,si ajabu ajae akatokea mikumi nae atahakikisha anaibadili mikumi atajenga international airport, uwanja wa mpira,nk ndo tunapoelekea,
Akiingia mwingine wa lushoto nae atajenga international airport na ikulu mpya kwao,
fine whats is the problem? vitakua pale kwa ajili ya watanzania wote .ukiwa unapinga pinga basi jarib kuwa hata na logic
 
Wewe ndiye uliyeishiwa, unaukiza swali wakati majibu yapo wazi!! Kinachobishaniwa hapa no nini,ndiyo maana nkuuliza au uelewa mdogo?
Uelewa wenu ni finyu sana ndio maana hata kwenye chaguzi mnagongwa za uso
 
tunasema maendeleo lazima yatawanyikie ili kusudi mzubguko wa pesa ufaidishe maeneo mbalimbali.mim nashangaa sana hivi mim sina chama chochote.ila hivi ikitokea sehem ikawa inainuka kiuchumi na ina vigezo vyote kwanini tunakuwa na gagaziko kubwa ,Chato ni eneo ambalo wewe ungekua mwanajiografia na mpenda maendeleo bila kuegema upande wowote ungefurahi.kule kuna ziwa victoria,ebu angalia maeneo yenye maziwa sehem mbalimbal jins yalivyoendeleani sawa sawa na maeneo yenye migodi,angalia miji kama nnagawa,fukushima jinsi ilivyo yote hii kutokana na uwepo wa ziwa,pili kuna shughul ya uvuv wa Tilapias au sangara ambao wana soko kubwa nchi za nje wapo chato,sasa pakiendelea pakavutia wawekezaj weng utakuwa umepoteza nini!??? kuna kisiwa cha rubondo kizuri ajabu kwa utalii anuwai mfano,kuvua,kupiga picha kuendesha maboti, kwa kin kule kusiende mapesa? maana pana kila kigezo cha kuwekezwa, ni eneo ambalo lina population kubwa ya watu tayari ni mtaji,ipo karibu na nchi za maziwa makuu.ikimaanisha itavutia biashara na nchi jirani.sabab zipo nyingi sanaa.
huko hata sijawah kufika ila nashangaaga sana jinsi wabongo wanavokuwa na chuki binafs bila hata kueleza kwanin kusiwe na mae ndeleo.mana mim kwa upande wangu naona kuna resource s ambazo kwa nchi nyingine saa hiz wapo mbali
Shangaa sana mkuu!

Magufuli ana miradi kila kona ya nchi hii ila kwakuwa watu wana chuki zao binafsi inaonekana ya chato tu.

Ndio hawa pia wanalalamika kwamba Magufuli anawabagua kabila flani. Ni ujinga sana umewajaa hawa watu
 
Magufuli kujenga hotel ni kosa?

Hatakiwa kujiwekea kitegauchumi chochote?

Kakiuka sheria gani kujenga hotel?

Ameandika kwenye fomu ya maadili na namna alivyoipata?
 
Shangaa sana mkuu!

Magufuli ana miradi kila kona ya nchi hii ila kwakuwa watu wana chuki zao binafsi inaonekana ya chato tu.

Ndio hawa pia wanalalamika kwamba Magufuli anawabagua kabila flani. Ni ujinga sana umewajaa hawa watu

Kwamba anawabagua kabila fulani hilo halina mjadala, na ww ni haki yako kumtetea maana una maslahi naye binafsi.
 
Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.

Then lini unaibuka Brussels kumpa Mzee wako gwala?
Umesahau vipaumbele vingine boss.
Kujenga uwanja wa mpira na uwanja was ndege chato,
 
Ndio maana hajaenda kujengewa sababu kanuni za uchumi haziko hivyo.

Lakini wajinga watafikiri kwa vile vimeenda kujengwa chato ndio maana wao nimasikini.
Uwanja wa ndege kijijini chato wanini kama sio ushamba na matumizi mabaya ya hela ya inchi maskini kama yetu
 
Kutoka kwangu hadi chato ni Massa manne tu hivyo chato ikiwa Brunei nitakwenda kula bata pale
 
Umeishiwa wewe!

Tafuteni namna nyingine ya kumkosoa Magufuli
Taa za barabarani kijijini chato za nini wakati magari ya kuhesabu. Kuna miji na majiji kibao yanahitaji hizo taa na hazipo. Kwanini zipelekwe sehemu pasipo uhitaji. Huo ndo izalendo wa Magu?
 
Magufuli kujenga hotel ni kosa?

Hatakiwa kujiwekea kitegauchumi chochote?

Kakiuka sheria gani kujenga hotel?
Unajielewa wewe?? Ulisema chato kuna miradi ya wananchi ndo nikakuuliza Je hoteli zake alizojenga nazo ni miradi ya wananchi???

Inaweza kuwa na hoteli kusiwe kosa Ila kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake alikojenga hoteli zake ili hoteli zake zipate wageni na kuingiza pesa linaweza kuwa kosa
 
Back
Top Bottom