Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #121
Kwa Hiyo wewe hujaona kosa kwa mtu kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake ili hoteli zake zipate wageni na kuingiza pesa?? Huoni maslahi binafsi hapo kwenye shughuli za umma?
Nmekuliza hayo aliyofanya magufuli huko chato ni ya kwake?
Mbona swali rahisi tu hili?