Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Endelea tu kuendekeza uzezeta wako wakati mwenzako anajijenga awe tycoon baada ya kustaafu!! KalaghabaoVipi mkuu kesi yenu kule Icc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?Endelea tu kuendekeza uzezeta wako wakati mwenzako anajijenga awe tycoon baada ya kustaafu!! Kalaghabao
😂😂😂 vumilia tu ndugu. Hii ndo Africa na hii ndo Tanzania ya kijaniNimejikuta nakata tamaa kudai risiti nikinunua bidhaa!
TigersharkNimejikuta nakata tamaa kudai risiti nikinunua bidhaa!
Unajua waziri wa China na delegation yake wamelala hoteli ipi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?
Hiyo reli anayojenga ni kwa manufaa yake? Hela zitakuwa zinaingia kwenye account ya familia yake?
Bora ungeondoka na Lisu uende kwa Amsterdam tu
Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?Unajua waziri wa China na delegation yake wamelala hoteli ipi???
Unajua mawaziri na timu yote ya serikali iliyoamkia leo Chato wamelala hoteli ya nani?!
Unajua kiwanda kinachojengwa pale chato na kitakuwa kinauza samaki na bidhaa zake chato ni cha nani???
Uzuri sina akili za kimaskini ila nawafumbua tu akili zenu vilaza wa lumumba nyie.
Kweli wewe ni kilaza. Hata hoja kuu hujaielewaSasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?..
Ukilaza wako unajukikana mkuu!Kweli wewe ni kilaza. Hata hoja kuu hujaielewa
Mie namsifu huyo unayemshobokea kwa kujiandaa vizuri na maisha baada ya kustaafu wewe unadhani mie Nina chuki nae
Bila risiti napata punguzo la bei!Najua na risiti ninakuwa nimewezesha kodi kupatikana,shida inakuja kwenye matumizi ya hiyo kodi!Tigershark
Ni kwanini hutaki kuwa mzalendo kwa kudai lisiti baada ya kununua bidhaa?
Mimi binafsi pangekuwa na option ya kukwepa Kodi wallahi ningekuwa wa kwanza Ili nijihudumie mwenyewe kuliko kufaidisha watu watufanyao sie mashamba yaoNimejikuta nakata tamaa kudai risiti nikinunua bidhaa!
Yamkute ya benSasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?
Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?
Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?