Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
If you can't think,imagine(Albert Einstein)Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?
Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?
Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
Kwahiyo tutafaidi maisha baada ya kustaafu kisha tukimaliza baada ya miaka sabini tena ndiyo tuanze kufaidi maisha tunayojitengenezea baada ya kifo! Sijui kama kanzidata itakuwa bado imehifadhi kumbukumbu zetu.Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa.
Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni Chato, utalii ni Chato na sasa wageni wa kimataifa ni Chato.
Kwa wenye sehemu za uwekezaji Chato, hiki ndo kipindi cha kujijenga, hata kiutalii wa kimataifa lazima ndani ya miaka hii minne iingie kwenye ramani ili baada ya kustaafu pawe pamezoeleka na paendeleee kuingiza hela.
Hongera sana JPM. Kweli umejiandaa na maisha baada ya kustaafu!
Nje ya Mada.
Poleni wana Kigoma. Hii documentary ya Mabeberu sio tu imewavua nguo bali imewadhalilisha vibayaaa!!
Acha watu wanufaishe kwao tu
Kifo ni jambo la wewe na Mungu wako. Watu wanaangalia kujitengenezea maisha mazuri wao na vizazi vyao hapa hapa duniani.Kwahiyo tutafaidi maisha baada ya kustaafu kisha tukimaliza baada ya miaka sabini tena ndiyo tuanze kufaidi maisha tunayojitengenezea baada ya kifo! Sijui kama kanzidata itakuwa bado imehifadhi kumbukumbu zetu.
Wakapewe k-firle mpaka akili ziwakae sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?
Hiyo reli anayojenga ni kwa manufaa yake? Hela zitakuwa zinaingia kwenye account ya familia yake?
Bora ungeondoka na Lisu uende kwa Amsterdam tu
Hata mimi ninaamini kujitengenezea maisha mazuri ila sikubaliani na wewe unaposema anatutengenezea maisha mazuri tukistaafu! Awaache wanaomhusu!Kifo ni jambo la wewe na Mungu wako. Watu wanaangalia kujitengenezea maisha mazuri wao na vizazi vyao hapa hapa duniani.