Kwa mstakabali wa Amani ya Simba . Nawaombea washinde leo hii

Kwa mstakabali wa Amani ya Simba . Nawaombea washinde leo hii

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Ninasema hivi kwasababu ikitokea Simba ipoteze naona kutakuwa na mtifuano mkubwa sana ndani ya Klabu . Hasira kubwa ya Mashabiki itakuwa kwa uongozi mzima wa Simba.

Kwasasa Mashabiki wengi wa Simba walishatoa msimamo wao kuwa hakuna kupeleka timu , hivyo wameutega uongozi wa Simba. Ikitokea Simba ishinde litakuwa ni jambo jema sana lakini ikifungwa itakuwa ni shida kubwa.

Binafsi ninaiombea Simba ishinde ili:
1. Amani ndani ya Club
2. Kurejesha heshima iliyopotea miaka 3
3. Kuleta furaha kwa wana Simba kwani wamekuwa wanyonge sana kwa Yanga misimu mitatu.

NB.
Yanga ikifungwa wataumia lakini sio kwa kiwango kikubwa kama itakavyokuwa kwa Simba
 
Hao ni mbumbumbu
Kikubwa mbumbumbu alete timu tumkande
Timu ataleta na kufungwa watafungwa
 
Kwa hao waamuzi wa leo kipigo kiko pale pale kwa simba.

Kwanza Kagoma atakula umeme
 
Back
Top Bottom