Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Dude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!
Nikwambie kitu?yaani wewe jamaa una chuki sana,halafu chuki zenyewe za kishamba yani kila kitu unakijua wewe hupitwi na kitu watu dizain yako bongo tumeanza kuwasahau nashangaa wewe sijui umejificha wapi!

Watu humu tunatumiana million of shillings na watu ambao hatujawahi kuwaona hata kwa kuhisi ni yule au huyu na tunaletewa vitu vile vile kama tulivyokubaliana bila longo longo hakuna siku nimeachwa,tatizo lako wewe ni mjanja mjanja unaona usivyoaminika basi na wote hawaaminiki!

Pia kumbuka siyo kila mtu anajua kila kitu,kuna ambavyo wewe unavijua mie sivijui na kuna ambavyo mimi navijua wewe huvijui hivyo tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama unahisi una ufahamu sana na jambo fulani ipe akili yako nafasi ya kukubali ufahamu wa mwenzako.
 
Dah uko sahihi sana.... Nilitaka nimkaribishe nilipo anifahamu nje ya JF lakini nikaona nimpuuzie
 
mtu mpaka kufikia hatua ya kutak kwenda china bado unampa ushaur wa kufkria biashara ya kufany
 
Eh eh boss huogopi wasiojulikana...ila anyhow jamaa mnamuonea ni wale vijana wamekaa sana marekani kabeba box lakin hela haioni so anakua anahusda na yoyote aliyetoboa....
Dah uko sahihi sana.... Nilitaka nimkaribishe nilipo anifahamu nje ya JF lakini nikaona nimpuuzie
 
Ni
Unaenda china mji gani in particular? Shenzhen Guangzhou na heinan niulize chochote ntakusaidia.
Nimeelekezwa na wadau niende guanzhou, nasikia ndio sehemu kuna bidhaa nyingi zinazokubalika kwenye soko letu, Nina idea kama nne, ya kwanza ni elecronics vitu kama ear phone, memory card, charger, fm radio , saa na nk,,ya pili chupi za kike, leso, boxer na sox, ya tatu ni vinguo vya watoto wachanga, ya nne toys za kufundishia, nisaidie kwa hayo mdau.
 
Boss,kwa upande wangu naona hiyo idea ya 3 iko vizuri zaidi,na si nguo za wachanga tu,anzia za watoto wenye mwaka sifuri mpk miaka 10 za kike na kiume,
Watoto kila siku wanazaliwa na amini biashara itatola lkn pia unaweza ongezea na toy mbali mbali za watoto za,baiskel,bby walker,vitanda vya watoto,tablets za watoto,na viti kama hivyo.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…