enterprenuer 1974
Member
- Oct 13, 2018
- 58
- 31
Unaenda china mji gani in particular? Shenzhen Guangzhou na heinan niulize chochote ntakusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!"Nimekaa sana China na Kufanya sana biashara" sentensi za mbwembwe namna hii ni hatari mno....halafu who are you for people to believe you?
Wapare bana,mbwembwe miingi,halafu mkikaa in real terms akawa shallow-tinatina!
Kwenye internet mtu akikwambia "mimi ni bora sana,najua sana China zaidi ya watu wote" inabidi uchanganye na zako vilevile!
Dah uko sahihi sana.... Nilitaka nimkaribishe nilipo anifahamu nje ya JF lakini nikaona nimpuuzieDude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!
Nikwambie kitu?yaani wewe jamaa una chuki sana,halafu chuki zenyewe za kishamba sana yani kila kitu unakijua wewe hupitwi na kitu watu dizain yako bongo tumeanza kuwasahau nashangaa wewe sijui umejificha wapi!
Watu humu tunatumiana million of shillings na watu ambao hatujawahi kuwaona hata kwa kuhisi ni yule au huyu na tunaletewa vitu vile vile kama tulivyokubaliana bila longo longo hakuna siku nimeachwa,tatizo lako wewe ni mjanja mjanja unaona usivyoaminika basi na wote hawaaminiki!
Pia kumbuka siyo kila mtu anajua kila kitu,kuna ambavyo wewe unavijua mie sivijui na kuna ambavyo mimi navijua wewe huvijui hivyo tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama unahisi una ufahamu sana na jambo fulani ipe akili yako nafasi ya kukubali ufahamu wa mwenzako.
Tumsaidie afike YI WUUnaenda china mji gani in particular? Shenzhen Guangzhou na heinan niulize chochote ntakusaidia.
mtu mpaka kufikia hatua ya kutak kwenda china bado unampa ushaur wa kufkria biashara ya kufanyInatosha, ila ushauri wangu kwako, tafuta mtu muaminifu kwaajili ya kwenda huko (mtu mwenye uzoefu na biashara ya kuchukua mzigo). Kuna watanzania wengi tu wanaoishi china/japan ambao huwapokea wabongo wanao kwenda kwaajili ya biashara.
Pili kabla ya kwenda China kuendea biashara, anza kufanya RESEARCH ya biashara ambayo unayotaka kufanya na itakulipa hapa hapa tanzania. Usiende bila kujua unafuata nini huko.[emoji18]
Usikurupuke wala usidanganyike.
Dah uko sahihi sana.... Nilitaka nimkaribishe nilipo anifahamu nje ya JF lakini nikaona nimpuuzie
wakati nawaza napataje mtaji wa elf 50 leo kuna mtu ana ml 50 kweli maisha sio sawa
Inatosha hiyo ila ukishafunga kauzie nchi nyingine nje ya Tz la sivyo utajikuta umenufaisha serikali dhalimu kwa kodi na makato lukuki.Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Unaenda china mji gani in particular? Shenzhen Guangzhou na heinan niulize chochote ntakusaidia.
duh sa akauzie wap au burundi labda mkuu!!Inatosha hiyo ila ukishafunga kauzie nchi nyingine nje ya Tz la sivyo utajikuta umenufaisha serikali dhalimu kwa kodi na makato lukuki.
Nimeelekezwa na wadau niende guanzhou, nasikia ndio sehemu kuna bidhaa nyingi zinazokubalika kwenye soko letu, Nina idea kama nne, ya kwanza ni elecronics vitu kama ear phone, memory card, charger, fm radio , saa na nk,,ya pili chupi za kike, leso, boxer na sox, ya tatu ni vinguo vya watoto wachanga, ya nne toys za kufundishia, nisaidie kwa hayo mdau.Unaenda china mji gani in particular? Shenzhen Guangzhou na heinan niulize chochote ntakusaidia.
Nimepanga nitumie Agent ili niĺipie kila kitu huko huko , mm nije kupokea mzigo tu.duh sa akauzie wap au burundi labda mkuu!!
Asante kwa ushauri mkuu, ntajitahidi.Kuwa makini na matapeli mkuu. Kwa maisha ya sasa 50M ni hela nyingi sana.
Atakuwa ni mstaafu wa zamani huyu maana kwa hali ilivo sasa hivi wenye milioni hamsini wanasakwa sanawakati nawaza napataje mtaji wa elf 50 leo kuna mtu ana ml 50 kweli maisha sio sawa
Yiwu? Kama jina la kina- Nigeria, Nisaidieni wadau, hii pesa naichukulia kama penati ya mwisho mechi ya fainali, Nimeisotea sanaTumsaidie afike YI WU
[emoji23][emoji23][emoji23]mtu mpaka kufikia hatua ya kutak kwenda china bado unampa ushaur wa kufkria biashara ya kufany
Natumia jina na picha halisi na ninafahamiana na watu wengi hapa huyo ni wa kumsamehe tuuEh eh boss huogopi wasiojulikana...ila anyhow jamaa mnamuonea ni wale vijana wamekaa sana marekani kabeba box lakin hela haioni so anakua anahusda na yoyote aliyetoboa....
Yi Wu ndio chimbo la dunia kule China ndio kuna kila kitu cha jumla, hata hao wachina wa guang-zhou wanachukua mali hukoYiwu? Kama jina la kina- Nigeria, Nisaidieni wadau, hii pesa naichukulia kama penati ya mwisho mechi ya fainali, Nimeisotea sana
Boss,kwa upande wangu naona hiyo idea ya 3 iko vizuri zaidi,na si nguo za wachanga tu,anzia za watoto wenye mwaka sifuri mpk miaka 10 za kike na kiume,Ni
Nimeelekezwa na wadau niende guanzhou, nasikia ndio sehemu kuna bidhaa nyingi zinazokubalika kwenye soko letu, Nina idea kama nne, ya kwanza ni elecronics vitu kama ear phone, memory card, charger, fm radio , saa na nk,,ya pili chupi za kike, leso, boxer na sox, ya tatu ni vinguo vya watoto wachanga, ya nne toys za kufundishia, nisaidie kwa hayo mdau.