Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Yi Wu ndio chimbo la dunia kule China ndio kuna kila kitu cha jumla, hata hao wachina wa guang-zhou wanachukua mali huko
Kwa hiyo kumbe hawa wa China wa guangzhou ni watu wa kati? Basi mnielekeze niende Yiwu.
 
Asante kwa ushauri mkuu.
 
Bora hyo idea namba 2 ya chupi,leso,boksa
 
Hako kajamaa ni kajuaji sana, yaan kanajifanyaga kila kitu kanajua! Hapo hata jamaa angesema anataka kwenda brunei akafunge mzigo nako kangedandia " napajua brunei, nimekaa sana"
 
[emoji23][emoji23][emoji23]he thinks China is a big deal
Kwa kiingereza hiki, aisee huna kitu kwenye medula ila unajifanyaga mjuaji kweli kwa kucopy na kupaste quotes, kumbe kichwani ni empty!
 
Kwa hiyo kumbe hawa wa China wa guangzhou ni watu wa kati? Basi mnielekeze niende Yiwu.
We utapigwa huo mpunga wako wote! Kama anataka akuelekeze mwbie akuelekeze hapahapa ili akichemka watu wamrekebishe, huko pm jiandae kupigwa huo mpunga maana hata akikuongopea huwezi kujua!
Alafu unaweza kuta hayupo china, yupo manzese argentina hapo na kasmartphone chake
 
Sema nn boss kuna ile kanuni ya kutoweka mayai yote kwenye chungu kimoja...mi ushauri wangu treat biashara kama mtoto ka ndo unaanza sio lazima uingize 50 yote mara moja.....test kiasi naipe biashara yako mda wa kukua na kupitia changamoto mbalimbali kabla hujasimama...usije leta mzigo wa m50 ukakuta magu anataka kodi faida yote...ushauri tu
ntaangalia pia wazo lipi litahitaji mtaji kidogo
 
Pesa inatosha kununua air ticket na kununua mzigo. Tatizo litakuwa kwenye how to make profit. Sababu exchange rate in mbaya mno. Labda jaribu kuilizia namna ya kutumia visa card ili ukiwa China utoe pesa kwenye bank badala ya kuchange pesa from Tsh to USD kisha USD to Yuan.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Kutosha kwake kunategemea na biashara unayotaka kuifanya"ila usisahau kuandaa hela nyingine kama hiyo kwaajili ya kukombolea mzigo wako kwa kaisari wa tz maana hapa hutapita mpka ulipe senti yako ya mwisho.
 
Sure kabisa huyo jamaa ni mjuaji kinyama

Yaani humu JF yeye ndio anajua kila kitu

Ana chuki balaa ni maskini was fikra .

Kiss anajua kuandika basi kushuka mgazeti sio iahu kwake.

Anadhani watu wote humu ndani ni vilaza kama yeye.

Watu wana experience za maisha tofauti tofauti humu sie yeye exeperimce za kugoogle data .

Yaani huyu mshamba sana
 
Eh eh boss huogopi wasiojulikana...ila anyhow jamaa mnamuonea ni wale vijana wamekaa sana marekani kabeba box lakin hela haioni so anakua anahusda na yoyote aliyetoboa....
Huyo hata marekani hajafika yuko kwa mfugambwa hapo kwa shemeji yake

Dizaini ya watu kama yeye huwa wazembe wazembe wa kitaa hawa mbele wala nyuma
 
Hahaa kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…