inakutosha sana tu kama upo mazingira yenye movement za watuHabari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Ushauri wa hovyo kabisaHiyo 2.5 mln kalime mbaazi utaongeza mtaji mkubwa zaidi wa uwakala wa simu na benki, utanishukuru baadaye
Wajinga kama wewe hamtanielewaUshauri wa hovyo kabisa
Achana nayoHabari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Kwanini mkuu?Achana nayo
Uwakala sio biashara
Utanishukuru badaye
Anza na huo huo utaongezeka kidogo kidogo. Usiache kuanzaHabari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Afanye nini sasa mpe ushauriAchana nayo
Uwakala sio biashara
Utanishukuru badaye
Msimu wa mbaazi umeshaisha....je asubiri mwakani?Hiyo 2.5 mln kalime mbaazi utaongeza mtaji mkubwa zaidi wa uwakala wa simu na benki, utanishukuru baadaye
Ina maana mbaazi ni risk free business? Kwamba quarantee ya pesa kurudi ni kubwa.Hiyo 2.5 mln kalime mbaazi utaongeza mtaji mkubwa zaidi wa uwakala wa simu na benki, utanishukuru baadaye
Watz wengi hasa sisi watumishi wa Umma tunakwama hapa.Hutoboi mkuu
Hizi ni imani tu. Hamna kitu kama hiki dunianiKingine issue za chuma ulete zipo,
Ni imani kwa wanaoamini,Hizi ni imani tu. Hamna kitu kama hiki duniani
ππNi imani kwa wanaoamini,
Ndiyo mkuu.... Kuna watu hawapajui kwa mganga na mambo yao yanaenda vzr, na wengine ndo hivyoππ