Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
We mbazi unalimia wapi mzee,Hiyo 2.5 mln kalime mbaazi utaongeza mtaji mkubwa zaidi wa uwakala wa simu na benki, utanishukuru baadaye
Acha kumkatisha jamaa tamaa, anaweza kuanza nayo hiyo na akafikia kwenye huo mtaji wa uwakala wa benk kupitia huko kwenye simu.
2.5M ni ela ndefu sana asikuambie mtu, kama Nia na uvumilivu anao anaweza fika mbali tu